Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu @ushmen kwa ajali hiyo mbaya.Na hii ndio taarifa yake
Habari ya asubuhi wana familia.
Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana.
Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm sling na figger of 8).
Niliendelea kupata nafuu hadi tarehe 24 ghafla nilianza kupata maumivu mapya upande wa kulia kama kichomi kikali, tulipata rufaa na sasa tupo muhimbili Sewahaji 17 room 12.
Nimetobolewa pafu baada ya kugundilika lili pata kuvia dam na uzembe ulifanyika kwa kutokugundua tatizo hilo na nikakaa na shida hiyo kwa wiki 3.
Kwakifupi hatuendelei vizuri sana lakini nashkuru Mungu naendelea kutoa damu kwenye pafu na sasa nikama inatoa usaha.
Leo kuna vipimo tutafanya pamoja na kukaa na wataalam, kama ikiwa bora zaidi tunaweza sogea kwa nchi yenye wataalamu zaidi ili tupate kupona.
Naomba mtuweke kwenye maombi n Mungu atawabariki sana.
NB: Kwenye ajali hiyo mbaya iliyohusisha madereva wawili pamoja na Ushimen! Dereva wa kwanza ambaye ndie alisababisha ajali hiyo mbaya alikufa pale pale.. Dereva wa pili aliyekuwa na Ushimen alifariki siku tatu baadae
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumuepusha ndugu yetu na kifo.. Tumuombee nafuu ya mapema
Mkuu ushimen pole sana kwa changamoto ya ajali, niliona pole nyingi ikabidi nitafute taarifa, nikasoma aiseepple sana. MUNGU aendelee kukufanyia wepesi classmateAsante sana mkuu
Pole sana aisee...Yaani it took 1 year and 5 months kupata ile balansi maana ardhi ilikuwa inaegemea upande wa kulia na kupoteza fahamu sometimes. Ukuu wa Mungu ulidhihirika
Oh! 😢Lolote baya likukute.
Sifurahishwi na maendeleo yako ya kiafya.
Nimepoa mkuu, asante sanaMkuu ushimen pole sana kwa changamoto ya ajali, niliona pole nyingi ikabidi nitafute taarifa, nikasoma aiseepple sana. MUNGU aendelee kukufanyia wepesi classmate
Usihuzunike mkuu....Oh! 😢
Asante sana mkuuPole sana classmate.
Mungu akujaalie uponyaji wa haraka
Tunamuombea apone haraka Mwamba...Ajali hizi tabu sanaNa hii ndio taarifa yake