Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Pole sana legend, niliumia sana kupata taarifa yako, cha kwanza nikaikumbuka avator yako ya mapengo.
Pole sana na nashukuru Mungu unaendelea salama. Daaah. Mwenyezi Mungu akuweke.
Uje utupe mkanda mzima ukifika 100%
 
Hii avatar ni sukari ya warembo hapa ndani..🤣
 
Ebu funguka mkuu, pengine ndio bahati imeni dondokea...🤣
😃😃😃 ana upendo sana huyu mnyange. Na ni mtu wa kujali sana.. Kamwe hachoki kuulizia maendeleo ya wengine waliopata shida ikiwemo wewe.. Tumpe maua yakeā¤ā¤ā¤

Back
Top Bottom