Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Ebu funguka mkuu, pengine ndio bahati imeni dondokea...š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu funguka mkuu, pengine ndio bahati imeni dondokea...š¤£
Bro i see you .happy holidayNaendelea njema sana mkuu, asante Mungu nimerejea kwenye majukumu yangu kama kawaida.
Kudos classmate, more life kakaNimepona kwa 90% boss...š
Amen..šKudos classmate, more life kaka
Dah Mungu ni mwemaNaendelea njema sana mkuu, asante Mungu nimerejea kwenye majukumu yangu kama kawaida.
Sijambo kwa sasa mkuu, nimepata nafuu 90%
Asante sana mkuu..šAmina
Mola aendelee kukusimamia upone kabisaaa
šš¤
Mungu ni mwema, pole sana mkuuSijambo kwa sasa mkuu, nimepata nafuu 90%
classmate unaendeleajeAmen..š
Naendelea njema sana mkuu.. šclassmate unaendeleaje
Amen...šMungu azidi kukuimqrisha mkuu @ushmen
Hii avatar ni sukari ya warembo hapa ndani..š¤£Pole sana legend, niliumia sana kupata taarifa yako, cha kwanza nikaikumbuka avator yako ya mapengo.
Pole sana na nashukuru Mungu unaendelea salama. Daaah. Mwenyezi Mungu akuweke.
Uje utupe mkanda mzima ukifika 100%
š Na itakuaHii avatar ni sukari ya warembo hapa ndani..š¤£
ššš ana upendo sana huyu mnyange. Na ni mtu wa kujali sana.. Kamwe hachoki kuulizia maendeleo ya wengine waliopata shida ikiwemo wewe.. Tumpe maua yakeā¤ā¤ā¤Ebu funguka mkuu, pengine ndio bahati imeni dondokea...š¤£
Ebu funguka mkuu, pengine ndio bahati imeni dondokea...š¤£
Taarifa ndo nimeona sasa pole sana na namshkr Mungu kwa ajili ya uzima ulio nao....Amen...š