Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Pole sana Kaka kwa ajali. Mwenyezi Mungu azidi kukuongezea maisha marefu.
 
Pole sana,
Mungu Yu Mwema Wakati Wote,
atakunyoshea mkono wake wa uponyaji upone haraka.
Ukimtumaini Yeye, kila kitu kinawezekana.
 
My Brother,naamini Mungu anaendelea kukulinda.
Kindly let us know unaendeleaje.
Sikuwahi kuona hii taarifa hapa
 
Unajua anaendeleaje kwa sasa?
Mimi nipo hapa muhimbili jamaa langu.... Classmate hanijui ila Mimi ninajua Hadi ndugu zake ambao hawanijui mimi.... Hata huyu mchungaji aliyestaafu uchawi msabato MshanaJR SI ajabu nimeonana naye sema tu basi nilimfananisha na Joseph Haule profesa j....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…