Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushimen huyu babu kashapona wajukuu zake tulimuombea dua, Mwenyezimungu akampa shifwaa.
Nipo njema mkuu
Pole sana,Na hii ndio taarifa yake
Habari ya asubuhi wana familia.
Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana.
Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm sling na figger of 8).
Niliendelea kupata nafuu hadi tarehe 24 ghafla nilianza kupata maumivu mapya upande wa kulia kama kichomi kikali, tulipata rufaa na sasa tupo muhimbili Sewahaji 17 room 12.
Nimetobolewa pafu baada ya kugundilika lili pata kuvia dam na uzembe ulifanyika kwa kutokugundua tatizo hilo na nikakaa na shida hiyo kwa wiki 3.
Kwakifupi hatuendelei vizuri sana lakini nashkuru Mungu naendelea kutoa damu kwenye pafu na sasa nikama inatoa usaha.
Leo kuna vipimo tutafanya pamoja na kukaa na wataalam, kama ikiwa bora zaidi tunaweza sogea kwa nchi yenye wataalamu zaidi ili tupate kupona.
Naomba mtuweke kwenye maombi n Mungu atawabariki sana.
NB: Kwenye ajali hiyo mbaya iliyohusisha madereva wawili pamoja na Ushimen! Dereva wa kwanza ambaye ndie alisababisha ajali hiyo mbaya alikufa pale pale.. Dereva wa pili aliyekuwa na Ushimen alifariki siku tatu baadae
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumuepusha ndugu yetu na kifo.. Tumuombee nafuu ya mapema
Jamani si huyo hapo juu kasema kashapona?Pole sana,
Mungu Yu Mwema Wakati Wote,
atakunyoshea mkono wake wa uponyaji upone haraka.
Ukimtumaini Yeye, kila kitu kinawezekana.
Ni furaha kusikia hivyo. Tunamshukuru MunguNipo njema mkuu
My Brother,naamini Mungu anaendelea kukulinda.Na hii ndio taarifa yake
Habari ya asubuhi wana familia.
Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana.
Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm sling na figger of 8).
Niliendelea kupata nafuu hadi tarehe 24 ghafla nilianza kupata maumivu mapya upande wa kulia kama kichomi kikali, tulipata rufaa na sasa tupo muhimbili Sewahaji 17 room 12.
Nimetobolewa pafu baada ya kugundilika lili pata kuvia dam na uzembe ulifanyika kwa kutokugundua tatizo hilo na nikakaa na shida hiyo kwa wiki 3.
Kwakifupi hatuendelei vizuri sana lakini nashkuru Mungu naendelea kutoa damu kwenye pafu na sasa nikama inatoa usaha.
Leo kuna vipimo tutafanya pamoja na kukaa na wataalam, kama ikiwa bora zaidi tunaweza sogea kwa nchi yenye wataalamu zaidi ili tupate kupona.
Naomba mtuweke kwenye maombi n Mungu atawabariki sana.
NB: Kwenye ajali hiyo mbaya iliyohusisha madereva wawili pamoja na Ushimen! Dereva wa kwanza ambaye ndie alisababisha ajali hiyo mbaya alikufa pale pale.. Dereva wa pili aliyekuwa na Ushimen alifariki siku tatu baadae
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumuepusha ndugu yetu na kifo.. Tumuombee nafuu ya mapema
Unajua anaendeleaje kwa sasa?Classmate Mungu anaendelea kukupambania dhidi ya mshua ibilisi.....
Mimi nipo hapa muhimbili jamaa langu.... Classmate hanijui ila Mimi ninajua Hadi ndugu zake ambao hawanijui mimi.... Hata huyu mchungaji aliyestaafu uchawi msabato MshanaJR SI ajabu nimeonana naye sema tu basi nilimfananisha na Joseph Haule profesa j....Unajua anaendeleaje kwa sasa?
Anaendelea vizuri.... Jana Kuna uzi alinijibu asilimia 98 yupo vizuri.Unajua anaendeleaje kwa sasa?