Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Pole mkuu! Mungu atakuponya
 
Mung u mfanyie wepesi ndugu yetu n Kama kuna msaada utahitajika tupo tayari kuutoa Kama familia ya JF
Hii ipo vzr Dr nazan kuna haja yakuliangalia hili,sisi ni familia sasa, kuuguza/kuugua kunachangamoto nyingi sana,tunaweza kufanya jambo kwa ajili yanwenzetu ,hii itamtia nguvu zaid.sijui tunalianzaje lkn nivyema tukalianza mapema zaid,
Mola akupe wepesi uweze kutengemaa tena ndugu Ushimen
 
Ooogh nooo... Asante kwa taarifa kaka Mshana. Bro Ushimen Pole sana. Mwenyezi Mungu atafanya wepesi urudi katika hali ya kawaida.

Kama utamtembelea mpe Salam zangu na kama anaweza pokea simu naomba unijulishe nimpigie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…