Makorokoro Bondeni
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 1,300
- 1,969
Apone mapema Mwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu! Mungu atakuponyaNa hii ndio taarifa yake
Habari ya asubuhi wana familia.
Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana.
Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm sling na figger of 8).
Niliendelea kupata nafuu hadi tarehe 24 ghafla nilianza kupata maumivu mapya upande wa kulia kama kichomi kikali, tulipata rufaa na sasa tupo muhimbili Sewahaji 17 room 12.
Nimetobolewa pafu baada ya kugundilika lili pata kuvia dam na uzembe ulifanyika kwa kutokugundua tatizo hilo na nikakaa na shida hiyo kwa wiki 3.
Kwakifupi hatuendelei vizuri sana lakini nashkuru Mungu naendelea kutoa damu kwenye pafu na sasa nikama inatoa usaha.
Leo kuna vipimo tutafanya pamoja na kukaa na wataalam, kama ikiwa bora zaidi tunaweza sogea kwa nchi yenye wataalamu zaidi ili tupate kupona.
Naomba mtuweke kwenye maombi n Mungu atawabariki sana.
NB: Kwenye ajali hiyo mbaya iliyohusisha madereva wawili pamoja na Ushimen! Dereva wa kwanza ambaye ndie alisababisha ajali hiyo mbaya alikufa pale pale.. Dereva wa pili aliyekuwa na Ushimen alifariki siku tatu baadae
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumuepusha ndugu yetu na kifo.. Tumuombee nafuu ya mapema
Hii ipo vzr Dr nazan kuna haja yakuliangalia hili,sisi ni familia sasa, kuuguza/kuugua kunachangamoto nyingi sana,tunaweza kufanya jambo kwa ajili yanwenzetu ,hii itamtia nguvu zaid.sijui tunalianzaje lkn nivyema tukalianza mapema zaid,Mung u mfanyie wepesi ndugu yetu n Kama kuna msaada utahitajika tupo tayari kuutoa Kama familia ya JF
Mkuu DR HAYA LAND naomba unitag kwenye huo uziInaumiza Sana kiukweli Mtumishi Uishimen huwa nakuwa nae katika ule Uzi wa maombi ya Ahsubui .
Mung u mfanyie wepesi ndugu yetu n Kama kuna msaada utahitajika tupo tayari kuutoa Kama familia ya JF
Ooogh nooo... Asante kwa taarifa kaka Mshana. Bro Ushimen Pole sana. Mwenyezi Mungu atafanya wepesi urudi katika hali ya kawaida.Na hii ndio taarifa yake