Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Na hii ndio taarifa yake

Habari ya asubuhi wana familia.

Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana.

Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm sling na figger of 8).

Niliendelea kupata nafuu hadi tarehe 24 ghafla nilianza kupata maumivu mapya upande wa kulia kama kichomi kikali, tulipata rufaa na sasa tupo muhimbili Sewahaji 17 room 12.

Nimetobolewa pafu baada ya kugundilika lili pata kuvia dam na uzembe ulifanyika kwa kutokugundua tatizo hilo na nikakaa na shida hiyo kwa wiki 3.

Kwakifupi hatuendelei vizuri sana lakini nashkuru Mungu naendelea kutoa damu kwenye pafu na sasa nikama inatoa usaha.

Leo kuna vipimo tutafanya pamoja na kukaa na wataalam, kama ikiwa bora zaidi tunaweza sogea kwa nchi yenye wataalamu zaidi ili tupate kupona.

Naomba mtuweke kwenye maombi n Mungu atawabariki sana.

NB: Kwenye ajali hiyo mbaya iliyohusisha madereva wawili pamoja na Ushimen! Dereva wa kwanza ambaye ndie alisababisha ajali hiyo mbaya alikufa pale pale.. Dereva wa pili aliyekuwa na Ushimen alifariki siku tatu baadae

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumuepusha ndugu yetu na kifo.. Tumuombee nafuu ya mapema

Pole sana Ushimen.
Mungu akupe uponyaji na wengine.

Inshallah utapona... Mungu ni mwema.

Ahsante sana Mshana Jr kwa taarifa.
 
Mshana Jr Makiwendo Heaven Sent Vincenzo Jr hii ilinitokea 2012 aisee ilikuwa mbaya skull fracture, 10 days nipo off kabisa
View attachment 3139751
Hatari🙌🏿
Pole sana na Mkuu na hongera sana kwa kupona
Hakika utukufu wote apewe Mungu.

Kwa tuliowahi kupata ajali na kuumia tunakuelewa sana...
Na Kuna level fulani ya Imani na shukurani kwa Mungu tumesogea,
Acheni tu Mungu aitwe Mungu maana muda huo mtu unabaki wewe na Mungu tu..
Hapo sasa unaona dhahiri maana halisi ya Mungu kuwa na nguvu na kuponya.
 
Dduuhh. Kichwa jamani ndio kila kitu.
Ndio maana tunausiwa sn kutojigonga maeneo ya kichwani. Unaweza kujipiga kdg tu lkn tatizo likawa kubwa.
Ila Mungu Anawalinda sana wtt, mana hayo mabichwa wanavoyadunda kila siku kwa ss watu wazima ni hatari
Kuna wakati huwa nawaza pengine watoto wana ulinzi na walinzi maalum
 
Na hii ndio taarifa yake

Habari ya asubuhi wana familia.

Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana.

Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm sling na figger of 8).

Niliendelea kupata nafuu hadi tarehe 24 ghafla nilianza kupata maumivu mapya upande wa kulia kama kichomi kikali, tulipata rufaa na sasa tupo muhimbili Sewahaji 17 room 12.

Nimetobolewa pafu baada ya kugundilika lili pata kuvia dam na uzembe ulifanyika kwa kutokugundua tatizo hilo na nikakaa na shida hiyo kwa wiki 3.

Kwakifupi hatuendelei vizuri sana lakini nashkuru Mungu naendelea kutoa damu kwenye pafu na sasa nikama inatoa usaha.

Leo kuna vipimo tutafanya pamoja na kukaa na wataalam, kama ikiwa bora zaidi tunaweza sogea kwa nchi yenye wataalamu zaidi ili tupate kupona.

Naomba mtuweke kwenye maombi n Mungu atawabariki sana.

NB: Kwenye ajali hiyo mbaya iliyohusisha madereva wawili pamoja na Ushimen! Dereva wa kwanza ambaye ndie alisababisha ajali hiyo mbaya alikufa pale pale.. Dereva wa pili aliyekuwa na Ushimen alifariki siku tatu baadae

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumuepusha ndugu yetu na kifo.. Tumuombee nafuu ya mapema
uchaguzi mkuu umekaribia!! wa2 wanaroga mpaka vyuma!!!!"acha siasa mkuu"
 
Taarifa za hivi punde toka kwa mgonjwa mwenyewe
Baada ya zoezi la kukausha damu na usaha toka kwenye pafu lililoathirika vipimo vipya vinaonesha maendeleo mazuri na hakuna haja tena ya kufanya upasuaji..
Hii ni taarifa njema kwa mgonjwa mwenyewe.. Familia yake na sisi sote!
Taratibu za ruhusa zikikamilika mapema leo ataruhusiwa na atakuwepo Dsm kwa muda
Asabteni sana wote kwa upendo mkubwa mliouonesha kwake🙏🏾
 
Dduuhh. Kichwa jamani ndio kila kitu.
Ndio maana tunausiwa sn kutojigonga maeneo ya kichwani. Unaweza kujipiga kdg tu lkn tatizo likawa kubwa.
Ila Mungu Anawalinda sana wtt, mana hayo mabichwa wanavoyadunda kila siku kwa ss watu wazima ni hatari
Yaani kichwa ni hatari sana
Mimi pia nilipata ajali nikaumia kichwa
Kwa jinsi tulivyokuwa tunasubiri yale majibu yatoke waone ndani
Wazazi Moja haikai mbili haikai

Madaktari wakawa wanawatoa hofu kwamba uwezekano wa fuvu kupata hitilafu ni mdogo maana huyu bado ni mtoto mdogo,hapo nikiwa kwenye eary 10.
Kweli fuvu lilipona ila bichwa sasa hadi leo sipo sawa nikishika hiyo sehemu inasisimuka sana hata wakati wa kuoga.

Sasa avuta picha ambao walipata shida kwenye fuvu
All in all Mungu ni mwaminifu muda wote.
 
Back
Top Bottom