Africa hakuna anayethamini uhaiHata ajali ya ndege ya Precision ilikuwa ni hivyo hivyo.
Watu walilalamika lakini hakuna cha maana cha kujifunza kwa matukio.
Hii ndiyo Tz yetu.
Pole sana kwa wote waliofikwa na dhahama hii pamoja na ndugu na marafiki zao wote pia, Mungu awarehemu.
Ifike tu muda madereva wakisababisha ajali,mbali na kunyanganywa leseni,na magari yao yachukuliwe na hata kutaifishwa kabisa, maana huku barabarani kuna muda unaona kitu ambacho dereva anafanya,unaona kabisa kakusudia na siyo bahati mbaya, dereva wa gari kubwa anaona magari madogo yote ni takataka mbele yake,anaweza kufanya chochote, dereva wa gari dogo,ana muona bodaboda ni kama kumbikumbi,anaendesha anavyotaka, bodaboda na yeye ni kama vile fahamu huwa zinamtoka saa akiendesha, kuna haja ya hatua kali kabisa kuchukuliwa,faini za hali ya juu ziwepo,uzembe utapungua.Najiuliza huyo dereva wa fuso angesubiri dakika moja tu ku overtake,
Angeokoa maisha ya watu 17,
Tatizo ccmRadio,TV bongo ni mwendo wa kukata mauno tu ,matangazo kamali ,umbea
Kuanzia asubuhi mpk kesho yake
Ova
Ingekuwa connection za uchi ingesambaa muda huo huo.Bado tuko gizani mzee...huo ndio ukweli! Ajali imetokea tangu jana saa nne usiku lakini wengi tumepata habari kwenye saa tano.
Wangeamua kulivalia njuga ajali zingepungua sanaIfike tu muda madereva wakisababisha ajali,mbali na kunyanganywa leseni,na magari yao yachukuliwe na hata kutaifishwa kabisa, maana huku barabarani kuna muda unaona kitu ambacho dereva anafanya,unaona kabisa kakusudia na siyo bahati mbaya, dereva wa gari kubwa anaona magari madogo yote ni takataka mbele yake,anaweza kufanya chochote, dereva wa gari dogo,ana muona bodaboda ni kama kumbikumbi,anaendesha anavyotaka, bodaboda na yeye ni kama vile fahamu huwa zinamtoka saa akiendesha, kuna haja ya hatua kali kabisa kuchukuliwa,faini za hali ya juu ziwepo,uzembe utapungua.
Waziri wa mambo ya ndani ana ramba asali tu wala ashtushwi na vifo vya ndugu zetuNimeikuta ALJAZEERA wanaionyesha muda wote kwenye kimstari kinachopita chini, scrolling ticker. Yani wameipa umuhimu.
nikaenda kutafuta details kwenye TV za bongo, zote zinaonyesha vipindi vya miziki...
Ndio aina ya media ambayo inaruhusiwa. Serikali kwa makusudi inalea taifa la watu wasio na taarifa wala mijadala muhimu, kwa hiyo hatuwezi kutafuta majawabu ya matatizo yetu, deaf dumb and blind. Kwa ajili hiyo tunaendelea kufa.
Wenye msiba ndo waliovertakeNajiuliza huyo dereva wa fuso angesubiri dakika moja tu ku overtake,
Angeokoa maisha ya watu 17,
NimenukuuWenye msiba ndo waliovertake