Taarifa ya ajali ya Tanga vifo 17 naiona Aljazeera, TV za bongo zinaonesha miziki tu

Unaweza kuta marehemu aliwaambia kabisa "nikifa msiende kunizika huko...." lakini hawakumwelewa.
 
Nimenukuu

Chanzo cha Ajali ni Mwendo Kasi na Uzembe wa Dereva wa Gari Na :T.673 CUC M/Fuso Kulipita gari la mbele Bila Ya kuchukua Tahadhari na kugongana Uso kwa uso Gari Na :T.863 DXN T/Coaster
Inaumaaa
 
Radio,TV bongo ni mwendo wa kukata mauno tu ,matangazo kamali ,umbea
Kuanzia asubuhi mpk kesho yake

Ova
Mtawalaumu bure hawa watu wa media. Hizi ni media zimetengenezwa kama chanzo cha kipato na hazijitoshelezi kifedha.
Wewe angalia Habari, mpira, maigizo, muziki, sijui vipindi gani vyote vinaoneshwa kwenye channel mmoja. Hata upande wa radio bado sana tulitakiwa tuwe
Television zinaonyesha michezo tu.
Television zinaonesha habari tu
Television za vipindi vya dini tu
Television za movie
Television kwa ajili ya documentary tu hata radio tu.
Mfano hai angalia
Aljazeera, Sony Ten 1, Discovery, wild animal.
Ukiangalia Safari channel huwa unakuta wameweka muziki au habari?
 
Kuna siku nikiwa na pikipiki yangu barabaran dereva wa Fuso ananiambia "Wewe Paki kibao chako Cha kukunia Nazi pembeni" daah nilijisikia vibaya sana
 
Kamejengeka ka mazoea ka msafara wa mazishi kuondoka usiku. Na kila msiba unaiga.
 
Inauma
 
Za bongo zimehamia kwenye kuhamasisha kamari (betting)
 
Kutofunga mikanda ndio sababu kuu ya hawa watu kufa, maana gari haikupinduka, waliobanwa ni waliokuwa siti za mbele na zinazofatia, wengine wote ......
 
Za bongo zimehamia kwenye kuhamasisha kamari (betting)
Mtawalaumu hawa watu wa media. Kumbuka taarifa ya habari, michezo, muziki, vipindi vya dini n.k vinaoneshwa kwenye channel moja. Mlolongo ni mrefu sana. Tulitakiwa tuwe na channel za habari, muziki, michezo n.k hapo ndiyo utaweza kuwalaumu.
Hiyo habari unaiona kipindi cha habari au breaking news.
 
Kuna siku nikiwa na pikipiki yangu barabaran dereva wa Fuso ananiambia "Wewe Paki kibao chako Cha kukunia Nazi pembeni" daah nilijisikia vibaya sana
Hahahah nmecheka kwa sauti ,utadhani iyo dereve anamiliki ata hiyo pikipiki sasa ,na ndio wa kwanza kutolewa kafara na maboss zao shenzi type

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimesikitika tu maiti iliyokuwa inaenda kuzikwa imekufa Mara mbili... kwa maana ya kifo Cha Mwanzo na kifo Cha ajali.
 
Kenya wapo vizur wana channel nyingi ambazo zina jitegemea tofauti na hapa nyumbani TBC zipo mbili tu

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…