Zambotti JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,983 Reaction score 3,670 May 13, 2020 #1 Taarifa ya bunge kuhusu wanachedema walioko nje ya jengo.
Bia yetu JF-Expert Member Joined Apr 14, 2020 Posts 6,921 Reaction score 8,321 May 13, 2020 #2 Chadema kwa kuvunja sheria hawajambo
M mkaliman JF-Expert Member Joined Dec 18, 2014 Posts 877 Reaction score 1,110 May 13, 2020 #3 John Mnyika je? Yeye aingie tu? Sent using Jamii Forums mobile app
jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,540 Reaction score 25,834 May 13, 2020 #4 Eti wakapimwe! Kwahiyo ndo wanaona ni adhabu? Akili zetu wabongo tunazijua wenyewe.
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 52,828 Reaction score 165,667 May 13, 2020 #5 Vituko! Usishangae majibu yakawa wote ni positive!!! Wapinzani potezeeni tu kurudi katika hilo Bunge kwani hata siku zenyewe zimeisha na zaidi hatuna Bunge kwa sasa.
Vituko! Usishangae majibu yakawa wote ni positive!!! Wapinzani potezeeni tu kurudi katika hilo Bunge kwani hata siku zenyewe zimeisha na zaidi hatuna Bunge kwa sasa.
Zambotti JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,983 Reaction score 3,670 May 13, 2020 Thread starter #6 Bia yetu said: Chadema kwa kuvunja sheria hawajambo Click to expand... Na Ndugai anavunja katiba. Sasa sijui anaevunja vioo na anaetoboa matairi nani mwenye nia ya kutuua
Bia yetu said: Chadema kwa kuvunja sheria hawajambo Click to expand... Na Ndugai anavunja katiba. Sasa sijui anaevunja vioo na anaetoboa matairi nani mwenye nia ya kutuua
Clan2626 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2012 Posts 355 Reaction score 311 May 13, 2020 #7 Mungu mbariki Mh. Magufuli azidi kutawala zaidi mabeberu wanajinusa wanaacha wanajinusa wanaacha. Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu mbariki Mh. Magufuli azidi kutawala zaidi mabeberu wanajinusa wanaacha wanajinusa wanaacha. Sent using Jamii Forums mobile app
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 52,828 Reaction score 165,667 May 13, 2020 #8 Wakapimwe wapi wakati hata mapapai yana-test positive?!
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 May 13, 2020 #9 Zambotti said: Taarifa ya bunge kuhusu wanachedema walioko nje ya jengo. View attachment 1449095View attachment 1449096 Click to expand... Hili bunge livunjwe tu mnatuchosha bhana!!
Zambotti said: Taarifa ya bunge kuhusu wanachedema walioko nje ya jengo. View attachment 1449095View attachment 1449096 Click to expand... Hili bunge livunjwe tu mnatuchosha bhana!!
Zambotti JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,983 Reaction score 3,670 May 13, 2020 Thread starter #10 mkaliman said: John mnyika je? Yeye aingie tu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Amemsahau
mkaliman said: John mnyika je? Yeye aingie tu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Amemsahau
Zambotti JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,983 Reaction score 3,670 May 13, 2020 Thread starter #11 johnthebaptist said: Hili bunge livunjwe tu mnatuchosha bhana!! Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]
johnthebaptist said: Hili bunge livunjwe tu mnatuchosha bhana!! Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,283 May 13, 2020 #12 🤣🤣🤣 Ndugai anaona hapo ametoa booonge moja ya adhabu.
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,923 Reaction score 95,765 May 13, 2020 #13 Hivi Nduga bado yupo hai? Nasikia Corona inampenda kuliko yeyote yule!
jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,540 Reaction score 25,834 May 13, 2020 #14 Mambo ya kitooto! Huwezi amini eti hao nao ndo viongozi wanaoendesha nchi.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,386 Reaction score 83,431 May 13, 2020 #15 Ndugai nikama Mtoto mdogo analilia Mchanga badala ya Ugali.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,386 Reaction score 83,431 May 13, 2020 #16 Ndugai nikama Mtoto mdogo analilia Mchanga badala ya Ugali.
Marlex Jr JF-Expert Member Joined Nov 6, 2015 Posts 1,823 Reaction score 2,426 May 13, 2020 #17 Sharti la kwanza linaonyesha ni kama hajui kwann awapo bungeni kisha sharti la pili linaonyesha anafaham kwa nn hawapo bungeni. Sent using Jamii Forums mobile app
Sharti la kwanza linaonyesha ni kama hajui kwann awapo bungeni kisha sharti la pili linaonyesha anafaham kwa nn hawapo bungeni. Sent using Jamii Forums mobile app
hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 9,013 Reaction score 10,034 May 13, 2020 #18 mkaliman said: John mnyika je? Yeye aingie tu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Yy hakuwepo kabisa kwenye bunge hili la bajeti
mkaliman said: John mnyika je? Yeye aingie tu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Yy hakuwepo kabisa kwenye bunge hili la bajeti
At Calvary JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 4,568 Reaction score 3,644 May 13, 2020 #19 Raha sana. Sent using Jamii Forums mobile app by My phone Eti nabakia Africa.
hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 9,013 Reaction score 10,034 May 13, 2020 #20 Bia yetu said: Mnyika na lema wanahudhuria km kawaida Click to expand... Wote hakuwepo, Lema alishaondoka bungeni long time na ajalipwa
Bia yetu said: Mnyika na lema wanahudhuria km kawaida Click to expand... Wote hakuwepo, Lema alishaondoka bungeni long time na ajalipwa