Katika hatua ambayo ilitegemewa, kati ya nyingi atakazochukua dhidi ya wabunge wa CHADEMA ambao waliamua kujitenga wenyewe baada ya kwenda kumtembelea mtoto wa Mbowe na kujihisi wana corona, leo amesema hata waruhusu kuingia bungeni,
that means pia kisasi hiki ambacho anacho binafsi yeye na JIWE ambaye ndiye alimuagiza kuashughulikia bungeni na huku nje atawashughulikia yeye basi atawahakikishia wanakula hasaraa nje ya bunge i.e huwezi jua risasi za moto zikahusika na ndani ya bunge kuzuiliwa mafao, mikopo yao .
Mwendo huu, kanisa lisimame . lipige maombi Bwana ampende zaidi Spika na aliyemtuma spika.
CHADEMAkwa upande wao wamesema hiyo siku kwa umoja wao, watakwenda Bungeni, huku Sami Awami wa BBC, na wengine wengi wa CNN, AL JAZEERA watakuwa kuchukua matukio live kwa drones, kuona nchi ikiingia kwenye udikteta.