Taarifa ya bunge: Kuhusu wabunge wa CHADEMA walioko nje

Taarifa ya bunge: Kuhusu wabunge wa CHADEMA walioko nje

Hayuko kwenye orodha ya watoro wala wanaodaiwa kurejesha perdiem ambayo hawakuifanyia kazi au kwenye orodha ya wanaotakiwa kupima corona kabla ya kuruhusiwa kuingia bungeni. Unataka uthibitisho gani zaidi ya huo. Yeye na Zitto walikuwa wajanja.
Ndugu yangu wote tumeona yaliyoandikwa na kutambua yanayokosekana, lakini kwa hiki ulichokiandika bado haujatoa uthibitisho. Amen.
'Yeye atakuwa aliomba na kupata ruhusa ya Spika. Si unajua vile yeye alivyomjanja. Na hiyo posho ya bunge wala hakuchukua. Alijichukulia posho yake huko huko kwenye mfuko wa chama'.
 
John Mnyika je? Yeye aingie tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyika na Zitto kabwe wajanja sana watakuwa waliaga wenzao wakaenda kimya kimya kumbe huku wenzao mnyika na zitto.kabwe wakapiga magoti kwa spika kuaga
Mnyika na Zitto kabwe ruksa kuingia ndio.maana yake

Kwenye wengi kuna mengi mnyika na Zitto hill.zigo haliwahusu
 
Wakapimwe wapi wakati hata mapapai yana-test positive?!

Mkuu, watch this space. Kuna maabara moja tu inapima na msingi wa vipimo ni kama mgonjwa ana dalili. Kitakachotokea hapa ni kuwa wabunge hawa watakataliwa kupimwa. Na kwa kuwa watakuwa hawakupimwa au wamepimwa lakini wasipewe majibu - basi Spika atataka majibu na wabunge kushindwa kutoa.

Ndio utakuwa mwisho wa mchezo. Nchi hii sijui tumemkosea nani na nini!!!
 
Back
Top Bottom