Taarifa ya bunge: Kuhusu wabunge wa CHADEMA walioko nje

Ndugai anapoteza muda wake bure kulamba makalio ya jiwe, bunge lijalo SUPIKA ni Bashite. Kwa siku hizi chache, angejitahidi kuwa na mwisho mwema tu.
 
Vituko!

Usishangae majibu yakawa wote ni positive!!!

Wapinzani potezeeni tu kurudi katika hilo Bunge kwani hata siku zenyewe zimeisha na zaidi hatuna Bunge kwa sasa.
Kama wanafanana na yale mapapai au na yule mbuzi basi watatest positive! Hapo watanzania watajua walichagua aina gani ya wabunge.
 
Yeye atakuwa aliomba na kupata ruhusa ya Spika. Si unajua vile yeye alivyomjanja. Na hiyo posho ya bunge wala hakuchukua. Alijichukulia posho yake huko huko kwenye mfuko wa chama.
Waonaje ukatafuta na kuthibitisha ukweli kwanza?
 
WATU WAMEKOPA KWA DHAMANA YA UBUNGE SASA WANAKACHA ILI MADENI YAO YALIPWE NA BUNGE

SAFARI HII NOOO! NDUNGAI KAWASHIKA PABAYA
 
WATU WAMEKOPA KWA DHAMANA YA UBUNGE SASA WANAKACHA ILI MADENI YAO YALIPWE NA BUNGE

SAFARI HII NOOO! NDUNGAI KAWASHIKA PABAYA
Kiwango cha ufahamu wako kuhusu mambo na taratibu za mikopo na udhamini, kinatia shaka sana.
 
Ndugai alimchapa bakora ya kichwa mpinzani wake bungeni hadi akazimia..
Nafikiri jamaa hakutaka tena kupambana naye jimboni
Fupi ana roho mbaya sana
 
Katika hatua ambayo ilitegemewa, kati ya nyingi atakazochukua dhidi ya wabunge wa CHADEMA ambao waliamua kujitenga wenyewe baada ya kwenda kumtembelea mtoto wa Mbowe na kujihisi wana corona, leo amesema hata waruhusu kuingia bungeni,

that means pia kisasi hiki ambacho anacho binafsi yeye na JIWE ambaye ndiye alimuagiza kuashughulikia bungeni na huku nje atawashughulikia yeye basi atawahakikishia wanakula hasaraa nje ya bunge i.e huwezi jua risasi za moto zikahusika na ndani ya bunge kuzuiliwa mafao, mikopo yao .

Mwendo huu, kanisa lisimame . lipige maombi Bwana ampende zaidi Spika na aliyemtuma spika.

CHADEMAkwa upande wao wamesema hiyo siku kwa umoja wao, watakwenda Bungeni, huku Sami Awami wa BBC, na wengine wengi wa CNN, AL JAZEERA watakuwa kuchukua matukio live kwa drones, kuona nchi ikiingia kwenye udikteta.
 
Posho hapana asiwanyang'anye ziwasaidie baada ya kutupwa kwenye ubunge maana hao woote hawatorudi tena bungeni kwa sababu wenyewe wamekataa kuwatumikia wanachi mapeema kabla hata uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa Spika wetu kipaumbele chake ni wabunge wa Chadema walioko karantini kuliko upatikanaji wa PPE kwa madaktari na manesi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…