Baada ya kusoma hii taarifa ya Bunge na kufanya analysis, nimebaini kuwa kumbe tuna Spika ambaye ni mgonjwaTaarifa ya bunge kuhusu wanachedema walioko nje ya jengo. View attachment 1449095View attachment 1449096
HIVI KWELI BUNGE LETU LINA KANUNI? KAMA ZIPO WATWAMBIE NI KANUNI IPI INASEMA MBUNGE ALIYEAPISHWA NA SPIKA HAWEZI KUFUKUZWA UANACHAMA NA CHAMA CHAKE CHA SIASA. HII WAZUNGU HUSEMA DOUBLE STANDARDSTaarifa ya bunge kuhusu wanachedema walioko nje ya jengo. View attachment 1449095View attachment 1449096
HEE KUMBE CHADEMA BADO INA WABUNGE WENGI HIVI! HAPO MNYIKA NA MWAKAJOKA HAWAJAJUMUISHWA. AISEE WENGI SANA! LICHA YA BIASHARA YA BINADAMU YA MZEE JIWE BADO KUMBE HAJAWAMALIZA TU. HUYU JIWE ALISHINDAJE UCHAGUZI KWA HALI HII?Taarifa ya bunge kuhusu wanachedema walioko nje ya jengo. View attachment 1449095View attachment 1449096
HILO LA KUPIMWA MBONA NDIO LENGO LAO TOKA MWANZO KUJIANGALIA KAMA WAPO SALAMA. UNAMTUMA MTU KWENDA HOSPITALINI WAKATI UNAONA YUPO KWENYE FOLENI YA KUMWONA DAKTARI?Taarifa ya bunge kuhusu wanachedema walioko nje ya jengo. View attachment 1449095View attachment 1449096
Sharti la kwanza linaonyesha ni kama hajui kwann awapo bungeni kisha sharti la pili linaonyesha anafaham kwa nn hawapo bungeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakijikoroga kwenda kupima kwenye "maabara iliyoboreshwa" itakula kwao...!! Utaniambia!!HILO LA KUPIMWA MBONA NDIO LENGO LAO TOKA MWANZO KUJIANGALIA KAMA WAPO SALAMA. UNAMTUMA MTU KWENDA HOSPITALINI WAKATI UNAONA YUPO KWENYE FOLENI YA KUMWONA DAKTARI?
Hiyo ndio sifa kuuChadema kwa kuvunja sheria hawajambo
🤣 🤣 🤣Sharti la kwanza linaonyesha ni kama hajui kwann awapo bungeni kisha sharti la pili linaonyesha anafaham kwa nn hawapo bungeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayuko kwenye orodha ya watoro wala wanaodaiwa kurejesha perdiem ambayo hawakuifanyia kazi au kwenye orodha ya wanaotakiwa kupima corona kabla ya kuruhusiwa kuingia bungeni. Unataka uthibitisho gani zaidi ya huo. Yeye na Zitto walikuwa wajanja.Waonaje ukatafuta na kuthibitisha ukweli kwanza?
ngudai chizi maarifa🤣🤣🤣 Ndugai anaona hapo ametoa booonge moja ya adhabu.
Ndugai yeye amepimwa?Hajarudi, aliyetype amemsahau
Pia warudishe pesa mkuuEti wakapimwe! Kwahiyo ndo wanaona ni adhabu? Akili zetu wabongo tunazijua wenyewe.
Hii Siasa ya nchi yetu itafikia kipindi itakosa mvuto kwa Wananchi!! Time is the best teacher ever!!.Taarifa ya bunge kuhusu wanachedema walioko nje ya jengo. View attachment 1449095View attachment 1449096