Huenda hakuwepo bungeni kwa ruhusa maalum, hivyo anajulikana mahali alipo.
Sasa watarejeaje bungeni kulingana na kifungu (a) kama usalama wameambiwa wasiwaruhusu kufika bungeni? Kweli sipika wetu shida sana.Taarifa ya bunge kuhusu wanachedema walioko nje ya jengo. View attachment 1449095View attachment 1449096
Taarifa ya bunge kuhusu wanachedema walioko nje ya jengo. View attachment 1449095View attachment 1449096
Ndugu yangu wote tumeona yaliyoandikwa na kutambua yanayokosekana, lakini kwa hiki ulichokiandika bado haujatoa uthibitisho. Amen.Hayuko kwenye orodha ya watoro wala wanaodaiwa kurejesha perdiem ambayo hawakuifanyia kazi au kwenye orodha ya wanaotakiwa kupima corona kabla ya kuruhusiwa kuingia bungeni. Unataka uthibitisho gani zaidi ya huo. Yeye na Zitto walikuwa wajanja.
Mnyika na Zitto kabwe wajanja sana watakuwa waliaga wenzao wakaenda kimya kimya kumbe huku wenzao mnyika na zitto.kabwe wakapiga magoti kwa spika kuaga
Wakapimwe wapi wakati hata mapapai yana-test positive?!