Sio vita ya kihivyooooo, mbona Walitoa press release na humu bandiko lipo? Issue ni jamaa walijibu habari iliyobandikwa humu kuwa ni ya uongo na pia wamewashughulikia wale waliofungua account za Facebook na kuifanyia ni account za jeshi kumbe sio. Au kuna la zaidi wadau?
Ndiyo nikasema neno "clue" kwa maana kua mod ndo watatoa hizo ip address zetu ili tusakwe? Ama hizo ip address kila mtu anaweza kuzipata kwa kadri anavyotaka? Nipe elimu kidogo namna ya kupata ip address ya mtu from any social network kama jf.
Lakini ile habari si ilikuwa twitted na JWTZ wenyewe? au ile account https://twitter.com/JW_TZ ya JWTZ ni fake?
View attachment 111624
Hiyo ni Id ya device unayotumia inaweza hata kutoa location yako ulipo na kila device ina Id yake. Jf hawatawapa wanaweza kutumia vijana wa IT.
Search kuna kitu kinaitwa Ip address.
Lakini ile habari si ilikuwa twitted na JWTZ wenyewe? au ile account https://twitter.com/JW_TZ ya JWTZ ni fake?
View attachment 111624
Mkuu kwenye hiyo taarifa yao wamekana juu ya umiliki wa akaunti hiyo ya Tweeter na ile ya Facebook.
wakishirikiana na TISS watawadaka fasta tu mnadhani TISS walivyo dhaifu kushughulikia drug loads ndivyo itavyokua kwenu?
Sawa nimekuelewa kwamba inawezekana kupata IP address kwa kadri inavyotakikana. Na kwa mwendo wa humu jf tutasombwa wengi sana.
IP address ndo imefanyaje sasa?
Hiyo ni Id ya device unayotumia inaweza hata kutoa location yako ulipo na kila device ina Id yake. Jf hawatawapa wanaweza kutumia vijana wa IT.
Hivi ile sheria ya kutokwenda NGOME na Jeans bado ipo?