Taarifa ya JWTZ kwa Umma

Taarifa ya JWTZ kwa Umma

Status
Not open for further replies.
Sio vita ya kihivyooooo, mbona Walitoa press release na humu bandiko lipo? Issue ni jamaa walijibu habari iliyobandikwa humu kuwa ni ya uongo na pia wamewashughulikia wale waliofungua account za Facebook na kuifanyia ni account za jeshi kumbe sio. Au kuna la zaidi wadau?

Ila wabongo tumedata... Sasa a/c fb au twtr ya JW ya nini? Mbn vya ku-update utakosa? dah
 
Wanapata Muda wapi wa kusoma blog zote kwenye mtandao wa Internet?wananipa wasiwasi hawafanyi kazi zao za ulinzi wa mipaka yetu
 
Kweli hapo ndio maana ya democraty inapopotea. Binafsi naona si vibaya mtu aka zungumzia masuala yanyomkera au anayo hitaji ufafanuzi au yenye kutatanisha ili ukweli upatikane. Kama jeshi wamesoma na wameona si ukweli yalio andikwa basi inabidi wakanushe na waelezee yaliokua na ukweli. Kitu kimmoja tu ni vizuri kutumia lugha yenye heshima badala ya matusi.
 
Ndiyo nikasema neno "clue" kwa maana kua mod ndo watatoa hizo ip address zetu ili tusakwe? Ama hizo ip address kila mtu anaweza kuzipata kwa kadri anavyotaka? Nipe elimu kidogo namna ya kupata ip address ya mtu from any social network kama jf.

Hiyo ni Id ya device unayotumia inaweza hata kutoa location yako ulipo na kila device ina Id yake. Jf hawatawapa wanaweza kutumia vijana wa IT.
 
wakishirikiana na TISS watawadaka fasta tu mnadhani TISS walivyo dhaifu kushughulikia drug loads ndivyo itavyokua kwenu?
 
Hiyo ni Id ya device unayotumia inaweza hata kutoa location yako ulipo na kila device ina Id yake. Jf hawatawapa wanaweza kutumia vijana wa IT.

Sawa nimekuelewa kwamba inawezekana kupata IP address kwa kadri inavyotakikana. Na kwa mwendo wa humu jf tutasombwa wengi sana.
 
wakishirikiana na TISS watawadaka fasta tu mnadhani TISS walivyo dhaifu kushughulikia drug loads ndivyo itavyokua kwenu?

Waache waje tupambane nao! Wanashindwa kuwakamata wauza unga watatukamata sisi?
Mbona ze utamu iliwatoa jasho hadi wakasaidiwa na wazungu?
 
Sawa nimekuelewa kwamba inawezekana kupata IP address kwa kadri inavyotakikana. Na kwa mwendo wa humu jf tutasombwa wengi sana.

Ndio hajataka na wao wapima threat yake sio kila kitu.
 
Hawa wasemaji nao,
Wanasema haraka mno;
Kwani hawana hata washauri wao.
 
JWTZ kitengo cha habari kipo very weak!!! Leo ndio mnaanza kukana hadi Twita yenye jina na nembo yenu! Mbona taarifa za kuiteka ngome ya M23 hamkuikana?

Kubalini kujifunza kupitia manguli wa social media maana zina nguvu kubwa ktk ulimwengu wa sasa.Msione haya kuwatafuta akina Invisible na MWANAKIjiji wawape shule ya bure.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni Id ya device unayotumia inaweza hata kutoa location yako ulipo na kila device ina Id yake. Jf hawatawapa wanaweza kutumia vijana wa IT.

Hao IT ndo wamejaa kibao huku Jf waje wasitubabaishe bana, vita ni vita Mura!
Zitapigwa kisaiba spesi humu hadi kieleweke!
 
Hawa hamnazo kabisa!!Wanafikiri JF ni Mtwara!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom