Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Sio vita ya kihivyooooo, mbona Walitoa press release na humu bandiko lipo? Issue ni jamaa walijibu habari iliyobandikwa humu kuwa ni ya uongo na pia wamewashughulikia wale waliofungua account za Facebook na kuifanyia ni account za jeshi kumbe sio. Au kuna la zaidi wadau?
Ila wabongo tumedata... Sasa a/c fb au twtr ya JW ya nini? Mbn vya ku-update utakosa? dah