Taarifa ya JWTZ kwa Umma

Taarifa ya JWTZ kwa Umma

Status
Not open for further replies.
Watachukua hatua gani sasa...

Huu ni ulimwengu mwingine kabisa tofauti na magazeti....
 
Nachoamini ni kuwa JF ndio imewaamsha JWTZ, sasa wapo macho.

Naikumbuka vema ile thread ya Mzee Mwanakijiji na ilikuwa na vyanzo vya kuaminika, ngoja tusikie iwavyo.
 
Last edited by a moderator:
JW bana.... mie nilidhani siasa ziliondoka na mwanasiasa Shimbo.
 
Emu walinde mipaka yetu uko haya mambo ya BLOG wamuachie SAID MWEMA au na wao hawaliamini jeshi la polise.
 
ha ha ha ha nilidhani JW kazi ni kulinda mipaka sio kupita pita kwenye blogu kufukunyua fukunyua umbea he he he he
 
Lakini ile habari si ilikuwa twitted na JWTZ wenyewe? au ile account https://twitter.com/JW_TZ ya JWTZ ni fake?
Capture.PNG
 
jilo gazeti lenyewe likuwa exposed kwa mmiliki wake kutuhumiwa kujihusisha na poda hapa jf basi wana hasira kweli na hii forum yetu
 
Ama kweli JF inapenya sasa Jwtz wameitangaza vyema
 
Badala waendelee na Mazoezi ya kijeshi wanataka kuhamia Jf haya ngoja tusubili lakini wakumbuke na watu wao wako humu wakilisoma ilo badiko watajua.
 
(Kama yaliyoandikwa ni ya Kweli) basi this is Another none in our Millitary sense.
Hebu mtafuteni huyo Kanali wenu mliyempa kitengo nyeti bila kujua kuwa ni adui halafu baadaye akawatorokeni.
Tumewaungeni mkono kipindi chote shida mlivyokuwa mkituhitaji na sasa mnapanga kusimama kujipima dhidi JF?
JF ni sisi, hivyo mmechagua kusimama dhidi yetu na yenu wenyewe. Habari ni za uhakika sijui shida yenu nini, au jamaa wa kile chama wameona ndiyo muda muafaka wa kuitumia JWTZ kuzorotesha JFkabla ya uchaguzi mkuu?
JF siyo Mtwara, wala siyo M23.
 
Wadau nawasalimu woote,,
Leo asbh kupitia vpindi vya MAGAZETI redioni zimeskika habari kuwa Jeshi la Wanachi Tz limetangaza mgogoro usiokoma kati yake na mitandao ya kijamii ikiwemo JF kwa kile kibachodaiwa kuwa Wamepakaza habari za uwongo kuwa Likizo zoote kwa Wanajeshi zimefutwa na wanajesh walokuwa likizo kurejeshwa makazini mara moja kufuatia hali ya hatari iliyokuwa imetanda nchini, JWTZ imedai kuwa habari hizo ni za kipotoshaji na uongo mkubwa na serikali haitasita kuwachukulia hayua wahusila.

Anaejua undani wa hili afunguke hapa
 
JWTZ wasianze siasa za kiCCM CCM, JF iko nje ya uwezo wao. Bora watulie na kuhangaikia mambo mengine ya msingi kwao!
 
sasa hao jwtz watawezaje kuwapata wahusika??

ni kweli habari ii iliwah kuletwa hapa na watu wakachangia lkn kama ni uongo si wakanushe tuu kwani ni mpaka waanze kuvutana mashati na mleta mada/mchangiaji??

naona sasa jwtz wanakosa mwelekeo manake kwao habari kuandikwa ndio ishu, ila kusema ukweli juu ya hali halisi, na pia kutupa mwelekeo hawataki.
 
Sio vita ya kihivyooooo, mbona Walitoa press release na humu bandiko lipo? Issue ni jamaa walijibu habari iliyobandikwa humu kuwa ni ya uongo na pia wamewashughulikia wale waliofungua account za Facebook na kuifanyia ni account za jeshi kumbe sio. Au kuna la zaidi wadau?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom