Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Ushaona watu ambao hatujivunii kabisa nchi yetu??? Ndo sisi sasa Watanzania sometimes mtu una-wish ni heri ungezaliwa nchi za Somalia uamue moja kuwa unashika mtutu au ufe kikondoo.... written from bottom of my heart nachukia ufanyaji kazi wa viongozi wetu.
Haya matusi unayomtukana Lissu kila mara yanakusaidia nini?Lisu anashangilia na kufurahi sana huko chumbani kwa Amsterdam
Alieneza chuki sana kwenye taifa letuHaya matusi unayomtukana Lissu kila mara yanakusaidia nini?
Ni siasa tu zinakufanya kumtukana mtu mzima kama Lissu matusi makubwa hivi?
Katika maisha yako ulishawahi kumwona baba yako mzazi yuko na mwanamme chumbani,?
Lissu ana familia, ndugu, na marafiki wanakwazika na matusi yako, kama ambavyo ungekwazika ukitukaniwa wazazi wako,
Chuki kama zipi? Ukiona anaeneza chuki, wewe hubiri amani.Alieneza chuki sana kwenye taifa letu
Taifa lenu na nani?.mtu mzima alafu jinga.Alieneza chuki sana kwenye taifa letu
Sawa bi. Kiroboto.Itoshe kusema kwamba wewe mzee ni mpumbavu sana.
TUTAKUKUMBUKA CHUMA JPM! #R.I.P CHUMA JPM#Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kukosekana kwa huduma ya umeme kulikosababishwa na upungufu wa kina cha maji kwenye vyanzo vyetu vya Kihansi na Pangani pamoja na hitilafu iliyotokea kwenye vituo vya Kinyerezi I na Songas leo, Jumanne, Septemba 13, 2022.
Hitilafu hii imesababisha baadhi ya maeneo ya mikoa ya Pwani, Dar Es Salaam, Morogoro, Singida, Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Njombe, Ruvuma, Songwe, Iringa, Shinyanga, Tabora, Dodoma, Geita, Mara, Manyara, na Simiyu kukosa huduma ya umeme.
Jitihada za kiufundi zinaendelea kufanyika ili kuhakikisha hitilafu iliyojitokeza inatatuliwa haraka iwezekanavyo. Aidha, tutatoa taarifa mara huduma ya umeme itakaporejea.
Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote unaojitokeza.
IMETOLEWA NA KURUGENZI YA MAWASILIANO NA UHUSIANO KWA UMMA, TANESCO MAKAO MAKUU.
SIMU: +255 748 550 000
View attachment 2355492