Taarifa ya Kusitisha huduma za Athuman Kapuya Foundation

Vizuri sana Waziri kupitapita huku JF kuna mengi hata yasiyokuwa kwenye wizara yako unaweza kuyapush.....
 
Labda wewe unaweza kututhibitishia kuhusu kilichoandikwa kwenye hivyo vitabu, msitake tuunge mkono kitu tusichokijua.
 
Wasaalam.


4 Juni, 2024, Dodoma.
________________

Athuman Kapuya Foundation ni shirika lililosajiliwa mwaka 2021 ambapo, kwa kipindi chote limetekeleza matakwa ya kisheria ya uwasilishaji wa taarifa na kulipa ada.
Jana nikiwa na tizama UTV niliona kwenye taarifa yao ya habari.

Niliona Yale ma boksi yenye vitabu na pedi na items zingine zingine

Kwa mfano mdogo tu vitabu vilifikaje tabora vilipita bandarini? Zilikuja kontena ngapi? He vimegawiwa wapi na wapi?

Then Paul chacha akaanza kufoka na kusema hawataki hata zawadi za computer maana hawawezi jua watakua wamezifanya Nini ikiwezekana wazipasue pasue..

Mambo mengi yamenifikirisha mpaka kiasi Cha kukumbuka ULE MCHELE ULIO RUTUBISHWA?!

Je wahisani wangapi wenye Nia ovu ?? Ni mangapi yanafanyika kwenye madawa ya binadamu na ya kilimo, soda, carbonated drinks, dawa za meno, mafuta ya kula e.t.c Mbona inafikirisha sanaa?

Ni Nini long-term plan ya wizara husika na taifa kwa ujumla kukabiliana na Mambo Kama haya?
 
Huyu mama nampa namba moja kwa sasa kwa wanawake maarufu wanaotimiza wajibu wao kikamirifu katika Serikali hii.
Sijajua kwa ngazi zingine za chini naami wapo pia ila kwa leo nimpongeze huyu tu.
 
Wazo jema, isipokuwa kuwaalika 'Watu wasiojulikana' ili kushughulika na wahusika wa masuala haya kwa mtazamo wangu naona kama siyo sahihi. Endapo kama kila kosa linatakiwa kushughulikiwa na 'watu wasiojukikana' Basi tutakuwa tunatengeneza Taifa la hatari Sana, Watu wengi watakuwa wanajichukulia Sheria mkononi dhidi ya maadui zao na Kisha kuibua tatizo lingine la Mauaji ya kiholela. Nafikiri Sheria zizingatiwe ktk kushughulika na Watu kama hao, tusiruhusu Mauaji ya kiholela.
 

Mh Waziri Dr. GWAJIMA, you are among the best kwenye cabinet katika kutekeleza majukumu ya kiwizara.

Huku kwa grassroots, you have full support from the community.

Keep the fire burning. Keep excelling.

-Kaveli-
 
Huyu mama nampa namba moja kwa sasa kwa wanawake maarufu wanaotimiza wajibu wao kikamirifu katika Serikali hii.
Sijajua kwa ngazi zingine za chini naami wapo pia ila kwa leo nimpongeze huyu tu.

She performs well. Pongezi kwake na team yake yote pale Wizarani.

-Kaveli-
 
Acha unafiki, ushoga upo enzi na enzi kwenye jamii zetu hasa za pwani na dini ile, people are doing it secretly. wazungu wamekuwa wakweli/si wanafiki wameweka hadharani, lakini haya mambo yanafanyika hasa kwenye influence ya waarabu.
Umesikia ya Mafia? watoto 15 wamelawitiwa na mambo kama hayo mengi tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…