Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Apunzike kwq amani kivipiPumnzika kwa Amani Nondo.Kina Soka nao walishapumnzika kwa amani.Mchengerwa ni katili sana tena sana.View attachment 3166523
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apunzike kwq amani kivipiPumnzika kwa Amani Nondo.Kina Soka nao walishapumnzika kwa amani.Mchengerwa ni katili sana tena sana.View attachment 3166523
Ina maana unamaanisha hii statement ndio itakuwa imemponza? Ila haya matukio mbona kama yanachafua nchi sasaPumnzika kwa Amani Nondo.Kina Soka nao walishapumnzika kwa amani.Mchengerwa ni katili sana tena sana.View attachment 3166523
Hata mimi nimewaza hivyo hasa kuhusu mauaji lakini naona hii haiwasaidi bali inawaharibia zaidi kama hilo ndio lengo lau.Hawa wanatutoa kwenye mjadala wa uchagizi wa serikali za mitaa hakuna lingene hapo
Kimsingi Polisi inawajua watekaji ila inawaogopa mnoAjabu sana.
Mbona simu ya mmoja wa watekaji haiongelewi iko wapi?
Na kwenye taarifa iliyopo hapa JF namba za gari ziko tofauti na namba hizo zilizoandikwa kwenye taarifa hiyo!
Huyo ni miongoni mwa Team MchengerwaPunguza ujinga. Ulitaka wafanye Nini? Wapindue serikali, mmeachiwa kila kitu ila bado hamridhiki. Very stupid idiot
Abdul Nondo anamiliki na pingu pia?Hebu Isome mwenyewe halafu tueleweshe na sisi;
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, Disemba 1,2024 majira ya saa 11.00 alfajiri katika eneo la stendi ya Magufuli Mbezi Louis Dar es Salaam kuna mtu mmoja mwanaume amekamatwa kwa nguvu na kuchukuliwa na watu waliokuwa wakitumia gari lenye usajili wa namba T 249 CMV aina ya Landcruiser rangi nyeupe.
Ilielezwa na mashuhuda kuwa katika purukushani za ukamataji begi dogo lilidondoshwa na baaadhi ya vitu vilivyokuwemo vimetambuliwa ni vya Abdul Omary Nondo.
Ufuatiliaji wa tukio hilo ulianza mara tu baada ya kupokelewa kwa taarifa hiyo Polisi, sambamba na kufungua jalada.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
Pia soma: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Lakini Je Majibu ya ufuatiliaji wa Wengine waliotekwa akiwemo Soka na Bonge wa Kiluvya yako wapi?
Iko siku hata Msemaji wa Polisi aweza kutekwa na bado Jeshi la Polisi litaendelea kusema tunafuatilia
Taarifa inasema hivi;Huyo ni miongoni mwa Team Mchengerwa
Wewe kaa na upunguani wàko, acha wenye akili wakipatikana watatoa solution, mpumbavu sana wewe. Kàma unaona sawa kutekana ni sawa basi acha kulialia.Punguza ujinga. Ulitaka wafanye Nini? Wapindue serikali, mmeachiwa kila kitu ila bado hamridhiki. Very stupid idiot
Hii imeenda R.I.P Abdul nondo.Hebu Isome mwenyewe halafu tueleweshe na sisi;
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, Disemba 1,2024 majira ya saa 11.00 alfajiri katika eneo la stendi ya Magufuli Mbezi Louis Dar es Salaam kuna mtu mmoja mwanaume amekamatwa kwa nguvu na kuchukuliwa na watu waliokuwa wakitumia gari lenye usajili wa namba T 249 CMV aina ya Landcruiser rangi nyeupe.
Ilielezwa na mashuhuda kuwa katika purukushani za ukamataji begi dogo lilidondoshwa na baaadhi ya vitu vilivyokuwemo vimetambuliwa ni vya Abdul Omary Nondo.
Ufuatiliaji wa tukio hilo ulianza mara tu baada ya kupokelewa kwa taarifa hiyo Polisi, sambamba na kufungua jalada.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
Pia soma: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Lakini Je Majibu ya ufuatiliaji wa Wengine waliotekwa akiwemo Soka na Bonge wa Kiluvya yako wapi?
Iko siku hata Msemaji wa Polisi aweza kutekwa na bado Jeshi la Polisi litaendelea kusema tunafuatilia
Utaratibu upo nadhani wa kuanzisha Kampuni binafsi za ulinzi. Ndiyo maana hizi Kampuni zipo nyingi....kuhusika na kutojua lolote...
Aibu ya nini wakati mi-ananchi imekaa na inakenua menu kujadili Simba na Yanga? Tena hii ni vizuri ifanyike mara kwa mara pengine wananchi wataamka.Hawa watu hawanaga aibu kabisa aisee duh!
Inawezekana ni mbinu tu ya kuuonesha umma kuwa siyo CHADEMA tu wanaotekwa, inawezekana pia NONDO hajatekwa kikweli, kuweni makini na hizi taarifa.Hebu Isome mwenyewe halafu tueleweshe na sisi;
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, Disemba 1,2024 majira ya saa 11.00 alfajiri katika eneo la stendi ya Magufuli Mbezi Louis Dar es Salaam kuna mtu mmoja mwanaume amekamatwa kwa nguvu na kuchukuliwa na watu waliokuwa wakitumia gari lenye usajili wa namba T 249 CMV aina ya Landcruiser rangi nyeupe.
Ilielezwa na mashuhuda kuwa katika purukushani za ukamataji begi dogo lilidondoshwa na baaadhi ya vitu vilivyokuwemo vimetambuliwa ni vya Abdul Omary Nondo.
Ufuatiliaji wa tukio hilo ulianza mara tu baada ya kupokelewa kwa taarifa hiyo Polisi, sambamba na kufungua jalada.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
Pia soma: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Lakini Je Majibu ya ufuatiliaji wa Wengine waliotekwa akiwemo Soka na Bonge wa Kiluvya yako wapi?
Iko siku hata Msemaji wa Polisi aweza kutekwa na bado Jeshi la Polisi litaendelea kusema tunafuatilia
Utoto huu ulioandikaInawezekana ni mbinu tu ya kuuonesha umma kuwa siyo CHADEMA tu wanaotekwa, inawezekana pia NONDO hajatekwa kikweli, kuweni makini na hizi taarifa.
Mwisilam mwenzenu anazidi kutafuta damu za watuChura kiziwi.
Waislam mbona mnapenda sana kuua ua watu ovyo ovyoHadithi kutoka kwa Tirmidhi
Mtume (S.A.W) amesema:
"Hakuna kiongozi atakayewatawala watu kisha asiwajali kwa uadilifu isipokuwa hatahisi harufu ya Pepo."
Jami' at-Tirmidhi, Hadithi Namba 1329
Hapa ndipo ninapowaelewa watu wanaoitwa wakatili WAKURYA,hawatekwi kizembe.Taarifa inasema hivi;
Shangwe ameeleza pia gari lililomteka Nondo ni Land Cruiser nyeupe yenye namba za usajili T 249 EMV. Taarifa za awali walizitoa kwa mashuhuda ambao walikuwa wanamfagamu Nondo, baada ya kufungua begi lake kulikuwa na note book ambayo nayo ilithibisha kumilikiwa na Abdul Nondo
Pia shuhuda aliyekuwa eneo la tukio amesema gari hilo lililokuja kumteka Abdul Nondo lilikuwa na watu 4, wawili wakiwa na bunduki na wawili wakiwa mikono mitupu, watu walipoenda kuangalia kuna nini na kujaribu kuhoji waliwanyooshea bastola na hivyo watu kubaki wanaangalia tukio hilo likitokea na Abdul Nondo akawa ametekwa! Katika purukushani hizo kwa maelezo ya shuhuda mbali na pingu na bengi la Nondo, ilianguka pia inadaiwa simu ya moja ya watekaji ambavyo vyote vilikabidhiwa kwa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magufuli.