Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Kwa taarifa hii Aombe sana huko alipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakoelekea inaweza kuwa hivyoHapa ndipo ninapowaelewa watu wanaoitwa wakatili WAKURYA,hawatekwi kizembe.
Zakaria ni case study kwako wewe unaye bisha.
Lkn pia hawakosi kuambatana na siraha ndogondogo kama PANGA,SIME NA KISU.
Masikini Jeshi letu la Polisi limekua watoa taarifa tu, sio watendaji tena!Hebu Isome mwenyewe halafu tueleweshe na sisi;
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, Disemba 1,2024 majira ya saa 11.00 alfajiri katika eneo la stendi ya Magufuli Mbezi Louis Dar es Salaam kuna mtu mmoja mwanaume amekamatwa kwa nguvu na kuchukuliwa na watu waliokuwa wakitumia gari lenye usajili wa namba T 249 CMV aina ya Landcruiser rangi nyeupe.
Ilielezwa na mashuhuda kuwa katika purukushani za ukamataji begi dogo lilidondoshwa na baaadhi ya vitu vilivyokuwemo vimetambuliwa ni vya Abdul Omary Nondo.
Ufuatiliaji wa tukio hilo ulianza mara tu baada ya kupokelewa kwa taarifa hiyo Polisi, sambamba na kufungua jalada.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
Pia soma: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Lakini Je Majibu ya ufuatiliaji wa Wengine waliotekwa akiwemo Soka na Bonge wa Kiluvya yako wapi?
Iko siku hata Msemaji wa Polisi aweza kutekwa na bado Jeshi la Polisi litaendelea kusema tunafuatilia
Kukabidhi hivyo vitu kwa mapolisi nalo ni kosa kubwa wamefanya. Sisi watanzania kwa kweli kujifunza kitu ni shida kubwa sana kwetu.
Ile walishamalizana nalo: vyama 14 walikubali uchaguzi ulikua wa haki; viongozi wa dini walisifia; Yanga kashinda; Mi naelekea jukwaa la Mapenzi na Mahusiano.Hawa wanatutoa kwenye mjadala wa uchagizi wa serikali za mitaa hakuna lingene hapo
Huwa sishabikii uhuni lakini Zitto ni mmoja ya watu wanamsifia Samia na kusema anaongoza vizuri. Zitto alikuwa mstari wa mbele kufukia mambo wakati Satifa aliponusurika kuuawa kwa kumkingia kifua Samia. Ukifukia uozo, kesho utanuka.Abdul Nondo ni kiongozi mkubwa sana, ila jamaa wanaona wakimuelezea kwa Cheo chake watakuwa wanawaudhi wakubwa wao hivyo wanamuelezea kama mtu mmoja wanaume.
View attachment 3166582
Angekuwa sasa ni UVCCM hapo angeelezewa kwa cheo chake na kuweka neno Mh kabka ya kuanza kutaja jina lake.
Police ni taasisi ilio jaaa dharau sana na majivuno sana, jamaa wanaona wako karibu na Mungu, na hakuna kitu watu wanaweza wafanya.
Ni taasisi ilio jaaa Fabrication ya taarifa hasa zile ambazo zinaelekea kuwa negative kwa Serikali.
Acha utekaji Mkuu sote njia yetu ni Moja.Hapo wamemtaja vyema sana professionally. Sasa wamtaje Abdul Nondo, kwani wana ushahidi gani usio na shaka?
Si Nondo ndiye yule alijitekaga mwenyewe miaka fulani huko nyuma - akakutwa kumbe alifunga safari kwa basi kuelekea Iringa?
Kama taifa tumefikia hatua mbaya sana,hyu mwamba ukimuangalia tu ananuka damu za watu.Pumnzika kwa Amani Nondo.Kina Soka nao walishapumnzika kwa amani.Mchengerwa ni katili sana tena sana.View attachment 3166523
Watu wasio julikana,kumbe mnawafahamuPumnzika kwa Amani Nondo.Kina Soka nao walishapumnzika kwa amani.Mchengerwa ni katili sana tena sana.View attachment 3166523
Pumnzika kwa Amani Nondo.Kina Soka nao walishapumnzika kwa amani.Mchengerwa ni katili sana tena sana.View attachment 3166523
[/QUO
Huu ni mtandao wa Saa100.