Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 2,652
- 5,242
Ni Adolf Mwamnyange,Aden ni kaka mtu,mstaafu generali.Haya
Namkumbuka msemaji machachari enzi za awamu ya 3 Mzee Aden Mwamunyange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Adolf Mwamnyange,Aden ni kaka mtu,mstaafu generali.Haya
Namkumbuka msemaji machachari enzi za awamu ya 3 Mzee Aden Mwamunyange
Hatuna jeshi la polisi!Hebu Isome mwenyewe halafu tueleweshe na sisi;
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, Disemba 1,2024 majira ya saa 11.00 alfajiri katika eneo la stendi ya Magufuli Mbezi Louis Dar es Salaam kuna mtu mmoja mwanaume amekamatwa kwa nguvu na kuchukuliwa na watu waliokuwa wakitumia gari lenye usajili wa namba T 249 CMV aina ya Landcruiser rangi nyeupe.
Ilielezwa na mashuhuda kuwa katika purukushani za ukamataji begi dogo lilidondoshwa na baaadhi ya vitu vilivyokuwemo vimetambuliwa ni vya Abdul Omary Nondo.
Ufuatiliaji wa tukio hilo ulianza mara tu baada ya kupokelewa kwa taarifa hiyo Polisi, sambamba na kufungua jalada.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
Pia soma: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Lakini Je Majibu ya ufuatiliaji wa Wengine waliotekwa akiwemo Soka na Bonge wa Kiluvya yako wapi?
Iko siku hata Msemaji wa Polisi aweza kutekwa na bado Jeshi la Polisi litaendelea kusema tunafuatilia
Muislam aliyelewa madarakaMwisilam mwenzenu anazidi kutafuta damu za watu
Unaonaje wewe ungeblock gari Ili ufeUpumbavu tu. hao raia walishindwaje kublock hilo gari lisiondoke? unadhani wanaweza kuua watu wote watakaokusanyika kuwazuia? Zakaria yule tajiri wa Musoma alikabiliana na hao wajinga pekeyake! juzi juzi tu Mwanza raia wamezuia ukamataji usioeleweka. nyie watu wa Dar mna shida bwana!!
Kwako, ila kila kitu kinawezekana, kutekwa kweli au kuigizwa.Utoto huu ulioandika
Kufungua jalada neno la Kila siku la Msemaji wa polisi na inaishia hapo.Hebu Isome mwenyewe halafu tueleweshe na sisi;
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, Disemba 1,2024 majira ya saa 11.00 alfajiri katika eneo la stendi ya Magufuli Mbezi Louis Dar es Salaam kuna mtu mmoja mwanaume amekamatwa kwa nguvu na kuchukuliwa na watu waliokuwa wakitumia gari lenye usajili wa namba T 249 CMV aina ya Landcruiser rangi nyeupe.
Ilielezwa na mashuhuda kuwa katika purukushani za ukamataji begi dogo lilidondoshwa na baaadhi ya vitu vilivyokuwemo vimetambuliwa ni vya Abdul Omary Nondo.
Ufuatiliaji wa tukio hilo ulianza mara tu baada ya kupokelewa kwa taarifa hiyo Polisi, sambamba na kufungua jalada.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
Pia soma: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Lakini Je Majibu ya ufuatiliaji wa Wengine waliotekwa akiwemo Soka na Bonge wa Kiluvya yako wapi?
Iko siku hata Msemaji wa Polisi aweza kutekwa na bado Jeshi la Polisi litaendelea kusema tunafuatilia
Ndipo mlipo tufikisha ila watu wakichoka kabisaa na uvumilivu ukawashinda msianze kupapalika , mnajenga taswira mbaya na image mbaya sana kwa taifa hili lakini mbaya ni kuikuza chuki na hasira taratibu huku mkiendelea kuaminishana kwamba watanzania hawana uwezo wa kuamua.Haya
Namkumbuka msemaji machachari enzi za awamu ya 3 Mzee Aden Mwamunyange
DuuuhT249 CMV ni IST na siyo landcruiser.. hawajamaa kubandika namba bandia tutakuja kuchomeshana bila sababu.. unaweza amka asubuhi gari yako ina kesi ya mauaji
Hapo ishukuriwe kuwa ni aina mbili tofauti za gari.T249 CMV ni IST na siyo landcruiser.. hawajamaa kubandika namba bandia tutakuja kuchomeshana bila sababu.. unaweza amka asubuhi gari yako ina kesi ya mauaji
Mkuu unaweza ukawashauri pia nini hatua za kuchukua kwenye hayoHapa ndio huwa sielewi vyama vya upinzani huwa vinapinga ñini?
Yaani mtu àmbae ni mwanachama wao anatekwa, anauawa, wao wanaenda kuhudhuria mazishi tuu.
RIP wagombea wa serikali za mitaa.
Dunia ndiyo pepo ya waovu. Sijui ni sababu gani huwafanya wageuke na kuwa na roho mbaya zaidi ya nyoka.Hadithi kutoka kwa Tirmidhi
Mtume (S.A.W) amesema:
"Hakuna kiongozi atakayewatawala watu kisha asiwajali kwa uadilifu isipokuwa hatahisi harufu ya Pepo."
Jami' at-Tirmidhi, Hadithi Namba 1329
Kukabidhi hivyo vitu kwa mapolisi nalo ni kosa kubwa wamefanya. Sisi watanzania kwa kweli kujifunza kitu ni shida kubwa sana kwetu.Taarifa inasema hivi;
Shangwe ameeleza pia gari lililomteka Nondo ni Land Cruiser nyeupe yenye namba za usajili T 249 EMV. Taarifa za awali walizitoa kwa mashuhuda ambao walikuwa wanamfagamu Nondo, baada ya kufungua begi lake kulikuwa na note book ambayo nayo ilithibisha kumilikiwa na Abdul Nondo
Pia shuhuda aliyekuwa eneo la tukio amesema gari hilo lililokuja kumteka Abdul Nondo lilikuwa na watu 4, wawili wakiwa na bunduki na wawili wakiwa mikono mitupu, watu walipoenda kuangalia kuna nini na kujaribu kuhoji waliwanyooshea bastola na hivyo watu kubaki wanaangalia tukio hilo likitokea na Abdul Nondo akawa ametekwa! Katika purukushani hizo kwa maelezo ya shuhuda mbali na pingu na bengi la Nondo, ilianguka pia inadaiwa simu ya moja ya watekaji ambavyo vyote vilikabidhiwa kwa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magufuli.
Tena kwenye kituo kinacholindwa na wanausalama kama hamjui na camera zipo. Kile ni kituo cha kisasa camera zipo!Kila nikikumbuka kuhusu yule kada wa CDM nabaki nacheka huku nikiumia
Yaani mwanzo walikanusha hawamshikirii baadaye wakakubali wanamshikiria Mwisho wakamwachia kwa faini ya Elfu 85
Je,ni nani huyo Mwenye land cruiser nyeupe anayeweza kumteka mtanzania mwenzetu tena katikati yetu akiwa na pingu ambazo ni nyara/Mali za serikali?
Kwanini viongozi wetu na Wanasiasa wetu kutoka chama tawala hawakemei masuala haya ya utekaji?