Taarifa ya Polisi kuhusu kutekwa kwa Abdul Nondo sijaielewa

Hawa wanatutoa kwenye mjadala wa uchagizi wa serikali za mitaa hakuna lingene hapo
Hata mimi nimewaza hivyo hasa kuhusu mauaji lakini naona hii haiwasaidi bali inawaharibia zaidi kama hilo ndio lengo lau.
 
Ajabu sana.
Mbona simu ya mmoja wa watekaji haiongelewi iko wapi?

Na kwenye taarifa iliyopo hapa JF namba za gari ziko tofauti na namba hizo zilizoandikwa kwenye taarifa hiyo!
Kimsingi Polisi inawajua watekaji ila inawaogopa mno
 
Abdul Nondo anamiliki na pingu pia?
 
Huyo ni miongoni mwa Team Mchengerwa
Taarifa inasema hivi;

Shangwe ameeleza pia gari lililomteka Nondo ni Land Cruiser nyeupe yenye namba za usajili T 249 EMV. Taarifa za awali walizitoa kwa mashuhuda ambao walikuwa wanamfagamu Nondo, baada ya kufungua begi lake kulikuwa na note book ambayo nayo ilithibisha kumilikiwa na Abdul Nondo

Pia shuhuda aliyekuwa eneo la tukio amesema gari hilo lililokuja kumteka Abdul Nondo lilikuwa na watu 4, wawili wakiwa na bunduki na wawili wakiwa mikono mitupu, watu walipoenda kuangalia kuna nini na kujaribu kuhoji waliwanyooshea bastola na hivyo watu kubaki wanaangalia tukio hilo likitokea na Abdul Nondo akawa ametekwa! Katika purukushani hizo kwa maelezo ya shuhuda mbali na pingu na bengi la Nondo, ilianguka pia inadaiwa simu ya moja ya watekaji ambavyo vyote vilikabidhiwa kwa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magufuli.
 
Punguza ujinga. Ulitaka wafanye Nini? Wapindue serikali, mmeachiwa kila kitu ila bado hamridhiki. Very stupid idiot
Wewe kaa na upunguani wàko, acha wenye akili wakipatikana watatoa solution, mpumbavu sana wewe. Kàma unaona sawa kutekana ni sawa basi acha kulialia.
 
Hii imeenda R.I.P Abdul nondo.
 
Aiseee!

Kijana wa watu mzuri, ana akili, determined.

May good angels protect his soul.
 
...kuhusika na kutojua lolote...
Utaratibu upo nadhani wa kuanzisha Kampuni binafsi za ulinzi. Ndiyo maana hizi Kampuni zipo nyingi.

Swali, upo utaratibu wa kuanzisha Kampuni binafsi za uchunguzi masuala ya ulinzi na usalama? Kama upo utaratibu, ni Kampuni ngapi zimesajiliwa?

Gharama zao zipoje?
 
Inawezekana ni mbinu tu ya kuuonesha umma kuwa siyo CHADEMA tu wanaotekwa, inawezekana pia NONDO hajatekwa kikweli, kuweni makini na hizi taarifa.
 
Upumbavu tu. hao raia walishindwaje kublock hilo gari lisiondoke? unadhani wanaweza kuua watu wote watakaokusanyika kuwazuia? Zakaria yule tajiri wa Musoma alikabiliana na hao wajinga pekeyake! juzi juzi tu Mwanza raia wamezuia ukamataji usioeleweka. nyie watu wa Dar mna shida bwana!!
 
Wqi
Hadithi kutoka kwa Tirmidhi
Mtume (S.A.W) amesema:
"Hakuna kiongozi atakayewatawala watu kisha asiwajali kwa uadilifu isipokuwa hatahisi harufu ya Pepo."

Jami' at-Tirmidhi, Hadithi Namba 1329
Waislam mbona mnapenda sana kuua ua watu ovyo ovyo

Sasa nondo kamkosea nini mke wa mzee hafidhi mpaka wanamuua
 
Hapa ndipo ninapowaelewa watu wanaoitwa wakatili WAKURYA,hawatekwi kizembe.
Zakaria ni case study kwako wewe unaye bisha.
Lkn pia hawakosi kuambatana na siraha ndogondogo kama PANGA,SIME NA KISU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…