Taarifa ya Polisi kuhusu kutekwa kwa Abdul Nondo sijaielewa

Hatuna jeshi la polisi!
 
Kwamba polisi hawana hakika kua alietekwa ni Nondo!!
 
Unaonaje wewe ungeblock gari Ili ufe
 
Uchawi sini upo kigoma? Mbona hamuwashughulikii?
 
Kufungua jalada neno la Kila siku la Msemaji wa polisi na inaishia hapo.
 
Haya

Namkumbuka msemaji machachari enzi za awamu ya 3 Mzee Aden Mwamunyange
Ndipo mlipo tufikisha ila watu wakichoka kabisaa na uvumilivu ukawashinda msianze kupapalika , mnajenga taswira mbaya na image mbaya sana kwa taifa hili lakini mbaya ni kuikuza chuki na hasira taratibu huku mkiendelea kuaminishana kwamba watanzania hawana uwezo wa kuamua.
 
T249 CMV ni IST na siyo landcruiser.. hawajamaa kubandika namba bandia tutakuja kuchomeshana bila sababu.. unaweza amka asubuhi gari yako ina kesi ya mauaji
Duuuh
 
T249 CMV ni IST na siyo landcruiser.. hawajamaa kubandika namba bandia tutakuja kuchomeshana bila sababu.. unaweza amka asubuhi gari yako ina kesi ya mauaji
Hapo ishukuriwe kuwa ni aina mbili tofauti za gari.
 
Hapa ndio huwa sielewi vyama vya upinzani huwa vinapinga ñini?
Yaani mtu àmbae ni mwanachama wao anatekwa, anauawa, wao wanaenda kuhudhuria mazishi tuu.
RIP wagombea wa serikali za mitaa.
Mkuu unaweza ukawashauri pia nini hatua za kuchukua kwenye hayo
 
Hadithi kutoka kwa Tirmidhi
Mtume (S.A.W) amesema:
"Hakuna kiongozi atakayewatawala watu kisha asiwajali kwa uadilifu isipokuwa hatahisi harufu ya Pepo."

Jami' at-Tirmidhi, Hadithi Namba 1329
Dunia ndiyo pepo ya waovu. Sijui ni sababu gani huwafanya wageuke na kuwa na roho mbaya zaidi ya nyoka.
 
Kukabidhi hivyo vitu kwa mapolisi nalo ni kosa kubwa wamefanya. Sisi watanzania kwa kweli kujifunza kitu ni shida kubwa sana kwetu.
 
Haya magenge ya uhalifu yalianza hivi hivi kule HAITI ikafika mahala yakawa hayazuiliki nayo yakaona umuhimu wa kuwa sehemu ya dola.

TUACHE KUENDEKEZA MAMBO YA KIZAMANI HAYA, MTU KAMA NONDO ANA MADHARA GANI KWA USALAM WA NCHI MPAKA UMTEKE.
 
Te
Tena kwenye kituo kinacholindwa na wanausalama kama hamjui na camera zipo. Kile ni kituo cha kisasa camera zipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…