Taarifa ya Sheikh kutoa muda kwa aliyemuibia Simu infinix yake ya kisasa airejeshe vinginevyo!

Kuna mdau aliiba bata bukini huku mtaani..Mzee katangaza baada ya siku7 hawakupatikana,Kijana wa miaka 20 tu akavimba tumbo akafa..
Hawa wanao tangaza wanafanya kweli mbwa Hawa
 
Wapi Simu...

Watu wanaina mpaka misikitini, Mahekaluni na Makanisani...., na wanapeta tu..., Hata kwenye hizo nyumba za ibada wamegundua cha kufanya ni kuweka mlinzi au kufunga milango na makufuri, ingekuwa raisi hivi wangeacha milango wazi
 
Mambo ya kawaida hayo, hatuna muda wa kwenda sijui polisi au Cyber crime, ambako tunajua usumbufu wake so hii ni clear and faster kupata mali yako.
Alafu mtu kama huyu anayedai simu yake iliyoibiwa kwa nguvu na mikwara yote, utakuta anatembea na mke wa mtu!!
Yaani hii dunia hii, Ufarisayo hautakwisha abadani!
 
Ha ha hao jamaa wahuni tu, kuna msikiti huku mtaan waliibiwa pikipiki basi wakawa wanapiga bit usiku wa manane eti piki piki irudi. Mpka leo kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo chini, Umeuaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…