Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili taarifa ienee vizuri sheikh ni mtu wa haki! hataki kuonea mtu.....Unampa Mwizi siku Kumi na NNE? MPE Tatu tu... Zikizidi Saba tu!
Biashara kvp? Hakuna namba ya mganga hapo katangaza niniSijaona wapi palipoandikwa ni sheikh alafu mbona naona limekaa kama tangazo la biashara.
Na ikiwezekana afanywe bwabwa watu wajisevie kiulaini.Mambo ya kawaida hayo, hatuna muda wa kwenda sijui polisi au Cyber crime, ambako tunajua usumbufu wake so hii ni clear and faster kupata mali yako.
Adui unaemuweza usimuachie MunguKazi ya kuhukumu ni ya Mungu sio binadamu
Si unajua wahuni ni waroho wa bia ila washkaji wakinunulia wadau pombe wanakataa [emoji2]Mzee wetu wa msikiti mzee othman alikuwa na kapikipiki chake Honda vile vidogo vyenye kiti kikubwa na kipana alikuwa hakifungi anaacha na funguo anaingia anaswali anatoka pia huwa anakilaza barazani nje kwake
Kama sio kututafuta maneno wahuni ni nini sasa ? Huoni kama anatuchokonoa ,atuletee lawama ?
Basi mwana jioni baada ya kuswali magharibakakipaki barazani akaingia ndani kwenda kufurukuta nakumbuka ilikuwa ramadhani ya mwisho kesho Iddy
Basi amemaliza anatoka haipo kama ingeendeshwa angeskia kwa maana imebebwa juu kwa juu na sio mtu mmoja hivyo wahuni wamejishindia hela ya sikukuu kesho
Basi alitangaza kitaa pale na sauti yake ya kidogo jamani ehee wiki ijayo naenda kwetu mtimbwani kama umeiba pkpk yangu rudisha
Mtimbwani ni mbele mwahako huko mwisho kama unaelekea pangani
Na ukiwa muhuni maskan kitaa mwizi unamjua sema unakausha si unajua mwana kapata ridhki ila tuliwaonya Sele na mwanae adamu konde rudisha wakasema ni mikwara tu na wahuni wakaiuza
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
tupe mkuuHamjasikia kila kisa cha ile pikipiki..? Hawa jamaa huwa hawatanii..
Mkuu mambo ipo, kama hujawahi ona usiseme mengi.Wapi Simu...
Watu wanaina mpaka misikitini, Mahekaluni na Makanisani...., na wanapeta tu..., Hata kwenye hizo nyumba za ibada wamegundua cha kufanya ni kuweka mlinzi au kufunga milango na makufuri, ingekuwa raisi hivi wangeacha milango wazi
Shehe INFINIX haikufai tukutumie kitochi ndani ya kanzu inakaa bila shida, sema yaishe.
Hapo ndo naona ujinga wa hawa watu ulipo, kwanini uwadhuru watu wasiohusika tukio wala hawajui chochote,Sema amezingua sasa unawaumizaje wengine wasiohusika.
Naunga mkono hojaHapo ndo naona ujinga wa hawa watu ulipo, kwanini uwadhuru watu wasiohusika tukio wala hawajui chochote,
Cha kujiuliza yeye hajawai kupewa chichote na mtu na asijue kimetoka wapi? Yeye adili na mwizi wake tu
Mpumbavu kabisa. Shule muhimu sana!Hapo ndo naona ujinga wa hawa watu ulipo, kwanini uwadhuru watu wasiohusika tukio wala hawajui chochote,
Cha kujiuliza yeye hajawai kupewa chichote na mtu na asijue kimetoka wapi? Yeye adili na mwizi wake tu