Taarifa ya Sheikh kutoa muda kwa aliyemuibia Simu infinix yake ya kisasa airejeshe vinginevyo!

Taarifa ya Sheikh kutoa muda kwa aliyemuibia Simu infinix yake ya kisasa airejeshe vinginevyo!

Soon kuna mwamba anaenda kuchizika kitaa.
Hawa mashekhe hawa acheni tu.

KichWa BoX
 
IMG_0161.jpg

yaani nikukutanaga na hawa jamaa wamevaa kanzu huwa sitaki masihara nao kabisa.

jamaa hata kama unampigia mke,ukiona kakuonya jaribu na ujitahidi kuwa msikivu,vinginevyo tutalaumu watu buree.
 
Hamjasikia kila kisa cha ile pikipiki..? Hawa jamaa huwa hawatanii..
 
Mambo ya kawaida hayo, hatuna muda wa kwenda sijui polisi au Cyber crime, ambako tunajua usumbufu wake so hii ni clear and faster kupata mali yako.
Na ikiwezekana afanywe bwabwa watu wajisevie kiulaini.
Tumechoka na hawa wezi wangese sana.
 
Bado siku 4 ........

Nikiripoti matukio kutoka Mwanakwerekwe kisiwani ni Mimi Goguryeo wa JF.
 
Mzee wetu wa msikiti mzee othman alikuwa na kapikipiki chake Honda vile vidogo vyenye kiti kikubwa na kipana alikuwa hakifungi anaacha na funguo anaingia anaswali anatoka pia huwa anakilaza barazani nje kwake

Kama sio kututafuta maneno wahuni ni nini sasa ? Huoni kama anatuchokonoa ,atuletee lawama ?

Basi mwana jioni baada ya kuswali magharibakakipaki barazani akaingia ndani kwenda kufurukuta nakumbuka ilikuwa ramadhani ya mwisho kesho Iddy

Basi amemaliza anatoka haipo kama ingeendeshwa angeskia kwa maana imebebwa juu kwa juu na sio mtu mmoja hivyo wahuni wamejishindia hela ya sikukuu kesho

Basi alitangaza kitaa pale na sauti yake ya kidogo jamani ehee wiki ijayo naenda kwetu mtimbwani kama umeiba pkpk yangu rudisha

Mtimbwani ni mbele mwahako huko mwisho kama unaelekea pangani

Na ukiwa muhuni maskan kitaa mwizi unamjua sema unakausha si unajua mwana kapata ridhki ila tuliwaonya Sele na mwanae adamu konde rudisha wakasema ni mikwara tu na wahuni wakaiuza

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Si unajua wahuni ni waroho wa bia ila washkaji wakinunulia wadau pombe wanakataa [emoji2]

Utaskia mzee hapana isije nikachanganywa ktk bomu la mzee na kweli mzee alienda mtimbwani kilichowakuta mbona wazazi wao walikuja kupiga magoti

Mzee akawajibu akhuu nilishavunja jungu haliungiki tena hivyo ndio basi iyo

Unajua aliwafanya nini ?

Ngozi zilikuwa zinatoka zenyewe kwenye mwili wanabakia na ile layer nyekundu ya juu ***** na hili jua ,au uoge sasa [emoji1787][emoji1787]
Hadi hospitali ilishindikana wakawa wanapewa madawa ya kujipaka . lakini wap unatumia dawa mpka unakua wanjano

Tulikuwa tunawaita wachina .ukimtembelea mmoja wao mara anajikuna muwasho mkali kama ni mgongo mara paa kucha zinatoka na ngozi

Toka niondoke 2012 sijui waliendeleaje

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wapi Simu...

Watu wanaina mpaka misikitini, Mahekaluni na Makanisani...., na wanapeta tu..., Hata kwenye hizo nyumba za ibada wamegundua cha kufanya ni kuweka mlinzi au kufunga milango na makufuri, ingekuwa raisi hivi wangeacha milango wazi
Mkuu mambo ipo, kama hujawahi ona usiseme mengi.
Sekunde mtu anasahaulika.
Ushuhuda
Kuna jamaa alikwapua mkoba wa mama mmoja,yule mama akamuuliza, jamaa kamtukana kasema umenifananisha.
Sekunde za kuhesabu jamaa kawa chizi .
Ukiskia ulimwengu wa Giza upo.
 
Hapo ndo naona ujinga wa hawa watu ulipo, kwanini uwadhuru watu wasiohusika tukio wala hawajui chochote,

Cha kujiuliza yeye hajawai kupewa chichote na mtu na asijue kimetoka wapi? Yeye adili na mwizi wake tu
Mpumbavu kabisa. Shule muhimu sana!
 
Back
Top Bottom