The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Ndio tunalazimishwa michango kanisani, tunatishiwa tukifa hatutazikwa kidini kama hatuchangii.unalazimishwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tunalazimishwa michango kanisani, tunatishiwa tukifa hatutazikwa kidini kama hatuchangii.unalazimishwa?
Waambie Bakwata nao wachangishe wajenge mashule.Shida iko wapi?Basi mchangishwe nyie matajiri mjenge hizo shule mnaoweza kulipa ada, sio kutukamua na sisi fukara tusioweza kulipa ada kwenye shule zenu nyie matajiri.
Tumsifu Yesu Kristo. Taarifa hii inatolewa na Idara ya Elimu ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2024 kwa shule za Kanisa Katoliki.
Lengo la kutolewa kwa taarifa hii ni kutoa tathmini ya ufaulu wa shule hizo ili kubaini maendeleo ya kitaaluma, maeneo yanayohitaji maboresho, na mwelekeo wa jumla wa elimu katika taasisi hizo.
Kwa mujibu wa takwimu, jumla ya watahiniwa wote nchini Tanzania walikuwa 516,695. Kati yao, wanafunzi wa shule za Kanisa Katoliki walikuwa 19,182, sawa na asilimia 3.6 ya watahiniwa wote.
Kwa upande wa ufaulu, wanafunzi waliopata daraja la kwanza hadi la tatu walifikia 18,745, sawa na asilimia 97.72 ya watahiniwa wa shule za Kanisa. Wanafunzi waliopata daraja la nne walikuwa 128 (asilimia 2.23), huku waliopata daraja la sifuri wakiwa watu 9 tu, sawa na asilimia 0.04.
Ikilinganishwa na matokeo ya mwaka 2023, ufaulu wa shule za Kanisa umeendelea kuimarika. Mwaka huu, kiwango cha ufaulu kimeongezeka kwa asilimia 1.66, tofauti na ongezeko la asilimia 0.15 mwaka uliotangulia.
TAKWIMU ZA UFAULU KWA KILA DARAJA
Daraja la Kwanza: Wanafunzi 12,308 (64.16%)
Daraja la Pili: Wanafunzi 4,991 (26.01%)
Daraja la Tatu: Wanafunzi 1,146 (7.53%)
Daraja la Nne: Wanafunzi 128 (2.23%)
Daraja la Sifuri: Wanafunzi 9 (0.04%)
TAKWIMU ZA UFAULU KWA SHULE
Katika shule za Kanisa, jumla ya shule 65 zilipata ufaulu wa A, shule 160 ufaulu wa B, shule 47 ufaulu wa C, huku shule 2 zikipata ufaulu wa D. Hakuna shule hata moja iliyopata ufaulu wa E.
SHULE KUMI ZILIZOONGOZA KWA UFAULU
1. St. Francis Girls, Mbeya
2. Cardosa Girls, Dar es Salaam
3. Tengeru Boys, Arusha
4. Precious Blood Girls, Arusha
5. Bethel Girls, Mafinga
6. Mawua Seminary, Moshi
7. Anuarite Girls, Moshi
8. St. Mary's Mazinde Juu, Tanga
9. Marian Boys, Morogoro
10. St. Aloysius Girls, Dar es Salaam
PONGEZI NA MAPENDEKEZO
Tunaipongeza jamii nzima ya shule za Kanisa, ikiwemo walimu, viongozi wa shule, wafanyakazi, na wanafunzi kwa kazi kubwa iliyofanikisha matokeo haya. Pia, shukrani kwa wazazi ambao wamewajibika katika malezi na elimu ya watoto wao.
Tunawashukuru maaskofu kwa kusimamia shule hizi, kuhakikisha zinazingatia maadili ya Kanisa, na kuimarisha huduma za kiroho kwa wanafunzi. Huduma hizo zimechangia mafanikio haya makubwa.
Hadi kufikia mwaka 2025, lengo ni kupunguza kabisa wanafunzi wanaopata daraja la sifuri na kuboresha zaidi kiwango cha ufaulu. Idara ya Elimu inahimiza waalimu na wakuu wa shule kuendelea kuweka juhudi kubwa zaidi ili kuhakikisha elimu inayotolewa inaleta mabadiliko chanya kwa jamii.
Tunaendelea kuwaombea baraka za Mungu katika kutekeleza jukumu la elimu na malezi ya wanafunzi wetu.
View: https://youtu.be/BDXmTW0SIZ8
Wanandaliwa wezi wa nchi ili kuja kucompasate walicjofanyiwaShule zenu zinatoa wanafunzi smart sana.
Big up RC
Unaijua mamlaka ya kuzuia rushwa na uhujumu uchumi Zanzibar?Wanandaliwa wezi wa nchi ili kuja kucompasate walicjofanyiwa
TakbiriiiiiiiiiiiiiNa Sisi bakwata tutatoa data zetu za ufaulu Kwa shule zetu ndani ya wiki hii......
Wabillah tawfiq!!!!
Kwa kweli umenena mkuuShule zimejengwa na waumini kwa kukabwa koo ya michango halafu ada inayowekwa waumini hawawezi kumudu kulipia watoto wao kwa shule waliyojenga wao wenyewe.
The same na hospitali, waumini wanachangishwa kujenga hospitali lakini wakiugua hawawezi kutibiwa bure kwenye hospitali walizojenga wenyewe. Huu ni wizi kama wizi mwingine kwa mgongo wa dini.
Dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo.

Marian boys ipo Bagamoyo jimbo katoliki la Morogoro na st. Aloysius ipo kibaha jimbo Kuu katoliki Dar es salaam. kwa hiyo sista alikuwa anataja shule kutokana na majimbo katoliki zilipo hizo shuleToka lini Marian boys ikawa Morogoro na St.Aloysius ikawa Dsm?
Shule za marian zipo jimbo katoliki morogoro.Toka lini Marian boys ikawa Morogoro na St.Aloysius ikawa Dsm?
Sikuamini kama hii shule ingekuja kufanya vizuri kiasi hiki.7. Anuarite Girls, Moshi
Ni wapi ulikabwa koo wakati wa ujenzi wa hizo shule? Nitajie na mfano hata wa shule moja tu uliyokabwa koo kwa michango wakati wa kujengwa kwake! Halafu unataka hizo shule zisitoze ada, halafu wale walimu mahiri watalipwa na nani mishahara mizuri ya kuwafanya wawe na ari ya kufundisha kwa bidii zaidi?Shule zimejengwa na waumini kwa kukabwa koo ya michango halafu ada inayowekwa waumini hawawezi kumudu kulipia watoto wao kwa shule waliyojenga wao wenyewe.