Taarifa ya ufaulu wa wanafunzi wa kidato cha nne katika shule za kanisa katoliki Tanzania

Taarifa ya ufaulu wa wanafunzi wa kidato cha nne katika shule za kanisa katoliki Tanzania

Shule zimejengwa na waumini kwa kukabwa koo ya michango halafu ada inayowekwa waumini hawawezi kumudu kulipia watoto wao kwa shule waliyojenga wao wenyewe.
Wala sijawahi kusikia makubaliano yakifanyika kanisani kuwa tunajenga ili tusomeshe wanetu hivyo tuweke gharama ambazo ni affordable kwa kila mmoja.

Shule hizo zinatoa huduma bora na huduma bora zinahitaji gharama, zikiwekwa gharama za Kayumba matokeo yakawa ya Kayumba mtakuja hapa kushangilia.

Hivyo ni vitegauchumi vya kanisa ndio maana lipo imara, sasa ninyi endeleeni kusalia kwenye maturubai na shule za kuhesabu huku mkitoa malalamiko ambayo waumini wa RC hata hawayatoi.
 
Shule zimejengwa na waumini kwa kukabwa koo ya michango halafu ada inayowekwa waumini hawawezi kumudu kulipia watoto wao kwa shule waliyojenga wao wenyewe.
Unataka shule zichukue waalimu form 4 failure wawalipe mshahara 50,000 then watoto wenu wakifeli muanze kutoa lawama? ACHA UJINGA elimu bora inahitaji waalimu bora, mazingira bora, chakula bora nk. Hayo yote ni gharama
 
Huenda wewe ni muumini usiyeweza kulipa ada hiyo,wengine tunalipa.
Ongeza juhudi kupambana na ufukara.
Basi mchangishwe nyie matajiri mjenge hizo shule mnaoweza kulipa ada, sio kutukamua na sisi fukara tusioweza kulipa ada kwenye shule zenu nyie matajiri.
 
Back
Top Bottom