We nae, yaani mwenye account mwenyewe hajakanusha kuwekewa mzigo na Salman, we nani ukatae!?Ni feki na huko Instagram, FB, X na mitandao mingine risiti mbili zinazagaa Moja ya ni ya ingizo la TZS 10,000,000/= na nyingine ni ya ingizo la TZS 20,000,000/=
Lakini za kule mitandaoni, waungwana walishathibutisha pasipo shaka kuwa ni feki, sio halisi..
Na kama ndizo ambazo Katuga kuzitumia mahakamani, basi iko shida mahali kwa Jamhuri
Na kuwa sasa ni wazi kabisa hii kesi imewalemea kiasi kwamba wako so desperate kutafuta hata milango isiyo rasmi kwa kuvunja sheria ili tu ku - justify kuwa bado wamo wamo..
Mafisadi kuzidi waliouza bandari.Acheni kulialia hapa Mafisadi Wakubwa nyie
Siyo katika Mazingira ya kutoa ushirikiano kwa mamlaka za serikali fuatilia vizuri Polisi TAKUKURU TRA wanaomba bank statement za mtu yoyoteToa neno pumbavu jadili mada, hujawahi kusikia serikali imeshindwa kesi au hujawahi kusikia benki imemlipa mteja mabilioni ya pesa.
Kama ilikua Part of Evidence haina shida Mahakamani hakunaga Siri ni sehemu ambayo mambo huelezwa bayana Heche is notorious Criminal anasema 30m kwenye account yake hajui aliyeweka?😁
gari analotumia heche gentlemanWewe ulituma shilingi ngapi??
Taarifa yeyote ikihitajika mahakamani inatolewa,Na Martin Maranja Masese
Taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja, kuzingatia kanuni ya Usiri wa Kibenki (Bank Secrecy and Confidentiality Principle). Nguzo kuu inayojenga uaminifu kati ya benki na wateja.
Kisheria, taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja unaotokana na mkataba kati ya mteja na benki, Sheria ya Taasisi za Benki na Fedha, na Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za Binafsi.
Benki inatakiwa kulinda taarifa za mteja isipokuwa katika mazingira manne pekee: (i) Compulsion of Law), (ii) Duty to the Public, (iii) Interests of the Bank, (iv) Consent of the Customer.
Wakati John Heche anatoa ushahidi wake katika kesi ya uhaini ya Jamhuri Vs. Tundu Lissu, Wakili Mkuu wa Serikali, Katuga ametoa nyaraka zake za ‘photocopy’ kuonyesha akaunti ya benki ya John Heche.
Nyaraka hizo za ‘photocopy’ zimetolewa na Wakili Mkuu wa Serikali ili kuonyesha taarifa za miamala ya John Heche mbele ya Mahakama kutoka katika akaunti yake ya Benki Na. 01522005XXX.
Nyaraka za kibenki kama zikihitajika na Mahakama, zinatakiwa kuwasilishwa Mahakamani zikiwa unauthenticated au uthibitisho wa kisheria (Bankers’ Books Evidence Act/Certified Copies).
Soma Pia: Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani
Anyways, kama kuna kuvunja mkataba wa usiri wa mteja (Breach of Duty of Confidentiality), John Heche akimaliza kutoa ushahidi wake Mahakamani, ataona nini anatakiwa kufanya katika jambo hilo.
Hakulazimishwa, alipomkana Salman akaulizwa tu vp na huu mzigo wa 20M ulioingizwa kwenye Account yako unautambua?Utanilazimisha kumjua mtu.
Kama ilikua Part of Evidence haina shida Mahakamani hakunaga Siri ni sehemu ambayo mambo huelezwa bayana Heche is notorious Criminal anasema 30m kwenye account yake hajui aliyeweka?😁
Itajulikana kesi ikifunguliwa unaweza kuta benki ikamkana Katunga ili isipoteze brand yake na uaminifu kwa wateja, serikali ikajitenga Katunga akabaki peke yake.Siyo katika Mazingira ya kutoa ushirikiano kwa mamlaka za serikali fuatilia vizuri Polisi TAKUKURU TRA wanaomba bank statement za mtu yoyote
Nyaraka za nini tena ikiwa mhusika mwenyewe keshakiri magari ni yake na account ni yake!Kama hilo ndilo lengo lengo basi mmeshindwa, nyaraka anazozitumia Katunga tangu juzi zipo mitandaoni.
Amekanusha..We nae, yaani mwenye account mwenyewe hajakanusha kuwekewa mzigo na Salman, we nani ukatae!?
Hawawezi kumlipia kwa sababu Hana ushahidi kama zimetolewa na Benk au nawakala,au mtu aliye ziingiza ma je ni Risiti halisi au copy. Mnivigumu sana kuwashitaki.sema kikubwa Bank inaweza kupoteza wateja kwa kuhisi kuwa Siri za account zao zinaweza kufikiwa kirahisi. Ila Huwa ni jambo la kawaida taasisi za serikali kukagua account za watu na kuchukua atua pale mtu anapoonekana amevunja Sheria za nchi na mara nyingi TRA Huwa wanafunga account za wafanya Biashara nakuchukua fedha zilizopo kwenye Account zako kama wanakudai hata bila kukutaarifu.unakwenda beki kutoa pesa unakuta wazee wakazi wamekomba pesa zote.CRDB WATAMLIPA MABILIONI. Wala asiwachekee
Heche si sehemu ya mshitakiwa na hana tuhuma zilizofunguliwa mahakamani kuhusiana na fedha.Kama ilikua Part of Evidence haina shida Mahakamani hakunaga Siri ni sehemu ambayo mambo huelezwa bayana Heche is notorious Criminal anasema 30m kwenye account yake hajui aliyeweka?😁
Kesi inahusu uhaini, tunachosema hizo nyaraka Katunga kazipata kwa idhini ya nani.Nyaraka za nini tena ikiwa mhusika mwenyewe keshakiri magari ni yake na account ni yake!
Swali langu, kwann mahakama ikubali taarifa isiyofuata sheria kutumika mahakamani?