Taarifa za Usajili wa vilabu vya Soka, msimu wa 2015/2016

Taarifa za Usajili wa vilabu vya Soka, msimu wa 2015/2016

kichwat

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
1,819
Reaction score
588
Kumekucha! Nani anatoka wapi anakwenda wapi msimu ujao ...

DONE DEALS:

  • Kevin de Bruyne (24): ametua ManCity kutoka Wolfsburg kwa dau la £55m, mkataba wa miaka 6.
  • Javier Hernandez Chicharito (27): amehamia Bayer Leverkusen kwa dau la £7.3m
  • Mario Balotelli (25): ametua AC Milan kwa mkopo wa msimu mmoja.
  • Nicolas Otamendi (27): ametua ManCity kwa dau la £32m na mkataba wa miaka 5.
  • Pedro (28): ametua Chelsea kwa dau la £21m.
  • Angel Di Maria (27): ametua PSG kwa dau la £46m.
  • Kipa Wojciech Szczesny (25) wa Arsenal amehamia Roma ya Italia kwa mkopo wa msimu mmoja.
  • Christian Benteke (24) ametua Liverpool kwa dau la £32.5m kuchukua nafasi ya Raheem Sterling.
  • Arturo Vidal (28): ametua Bayern Munich kwa dau la £26m.
  • Kocha Claudio Ranieri (63) amerudi EPL, ataifundisha Leicester City msimu ujao
  • Raheem Sterling (21): ametua ManCity kwa dau la £44m kutoka Liverpool.
  • Morgan Schneiderlin (25): ametua ManUtd kwa dau la £25m, mkataba wa miaka 4 akitokea Southampton.
  • Bastian Schweinsteiger (30): ametua ManUtd kutoka Bayern Munich kwa dau la £14.4m, mkataba wa miaka 3.
  • Robin van Persie (31) ametua Fenerbahce kwa dau la £4.7m.
  • Luis Nani (28) ametua Fenerbahce kwa dau la £4.25m.
  • Roberto Firmino (23) ametua Liverpool kutoka Hoffenheim kwa dau la £29m, mkataba miaka 5
  • Memphis Depay (21): ametua ManUtd kwa dau la £31m kwa mkataba wa miaka 4. Depay ameifungia PSV mabao 21 msimu huu.
  • Mario Mandzukic (29): ametua Juventus kwa dau la £13.6m kutoka Atletico Madrid.
  • Peter Cech (33): ametua Arsenal kwa dau la £10m. Cech atavaa jezi namba 33 ikiwakilisha umri wake - miaka 33, idadi ya mechi alizocheza EPL - 333, na kwamba atakuwa uti wa mgongo wa timu, uti wa mgongo una mifupa 33.
  • Radamel Falcao (29): Ametua Chelsea kwa mkopo (msimu mmoja), kwa dau la £4m na mshahara wa £180,000 kwa wiki.

Tanzania
1. Deus Kaseke (21): amesajiliwa na Yanga kutoka Mbeya City kwa mkataba wa miaka 2
2. Haruna Chanongo (22): amesajiliwa kama mchezaji huru kutoka Simba.
3. Peter Mwalyanzi (??): aliesajiliwa na Simba kutoka Mbeya City, mchezaji huyo atakuwa mali ya Simba hadi hapo 2017.
4. Rashidi Mandawa (??): amesajiliwa na timu ya Mwadui FC kutoka Kagera Sugar.
5. Malimi Busungu, anatoka Mgambo kwenda Yanga
6. Geofrey Mwashiuya, ametoka Kimondo FC na kwenda Yanga

 
Benteke.jpgRaheemSterling.jpgarturo.jpgFalcao.pngMemphis-Depay-246348.jpgvanPersie.jpgPetrCech.jpgNani.jpg
 
Kocha Pep Guardiola atabaki Bayern Munich msimu ujao, haendi ManCity kama tetesi zilivyoenea
 
Paul Pogba (22) huenda akawa kiungo anayelipwa mshahara mkubwa zaidi duniani atakapotua ManCity. Timu hiyo imeandaa dau la £70m (British Record) kumchukua.
 
Muuaji Thomas Muller (25) amezidisha uvumi wa kuhamia ManUtd baada ya kusema ana uhusiani mzuri na kocha Louis van Gaal.
 
Aubameyang daah liva yangu inachukua magalasa yaliyojifunza mpira ukubwan
 
hapo kwa arsenal mbona umeweka xxx wakat benzema anahusishwa?? and vp kuhusu jugen kloop anaenda wapi?
 
Juma nyoso kuhamia ndanda fc kwa mujibu wa tetesi.
 
Arsenal imeandaa kitita cha £40m kumchukua Karim Benzema
 
Hatma ya Robin van Persie (31) ndani ya ManUtd iko pabaya baada ya uongozi wa klabu kukubali kwamba mchango na umuhimu wake unazidi kupungua kila kukicha. Huenda akaruhusiwa kutafuta chochoro jingine.
 
Chelsea FC ''The Blues''

Yathibitisha kumsainisha mkataba mchezaji wa Kibrazil Nathan
 
Ule uvumi wa kiungo wa kidachi na Roma Strockoman kwenda Man Utd umefikia wapi?..
 
Mshambuliaji wa Young Africans ya Tanzania, Mrisho Halfan Ngassa amesaini mkataba wa miaka mitatu kwa dau la sh. milioni 160 za kitanzania na club ya Free State United ya nchini Afrika ya Kusini.

Winga teleza wa Yanga ya Tanzania anaendelea na mazungumzo na timu ya Bidvest ya Afrika ya Kusini.

Klabu ya simba imemtema aliyekuwa streika wao Danny Sserunkuma na sasa mchezaji huo yupo huru kujiunga na timu yoyote inayohitaji huduma yake.


Chanzo: Goaal.com
 
Mshambuliaji wa Young africans sports club ya tanzania, Mrisho Halfan Ngassa amesaini mkataba wa miaka mitatu kwa dau la sh. milioni 160 za kitanzania na club ya Free state united ya nchini Afrika ya kusini.

Winga teleza wa yanga ya tanzania anaendelea na mazungumzo na timu ya Bidvest ya Afrika ya kusini.

Klabu ya simba imemtema aliyekuwa streika wao Danny serunkuma na sasa mchezaji huo yupo huru kujiunga na timu yoyote inayohitaji huduma yake.

source-goal.com

Hata simon serunkuma na joseph owino wameachwa.....
 
Baada ya uvumi mrefu wa beki pembeni wa timu barcelona kuihama timu timu hiyo,hatmae wamefikia makubaliano mazuri ambapo atasaini.mkataba mwingine wa miaka 2,baada ya kukataa kusaini wa awali uliosema atacheza 60%
 
ManCity ipo tayari kuwamwaga akina Yaya Toure, Samir Nasri, Stevan
Jovetic, Aleksandar Kolarov hata Edin
Dzeko ilimradi Paul Pogba (22) atue
Etihad.
 
Inter Milan wameweka dau la £10m kumng'oa Yaya Toure (31) kutoka ManCity
31-year-old midfielder Yaya Toure. Boss wake wa zamani - Roberto Mancini anasema haisumbui.
 
Inter Milan wameweka dau la £10m kumng'oa Yaya Toure (31) kutoka ManCity. Boss wake wa zamani - Roberto Mancini anasema haisumbui.
 
Bei ya Christian Benteke (24) ni £30m.
Chelsea, ManUtd, Liverpool and
Roma wametega nyavu kusubiri maamuzi mwezi ujao.
 
Back
Top Bottom