kichwat
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 1,819
- 588
Kumekucha! Nani anatoka wapi anakwenda wapi msimu ujao ...
DONE DEALS:
Tanzania
1. Deus Kaseke (21): amesajiliwa na Yanga kutoka Mbeya City kwa mkataba wa miaka 2
2. Haruna Chanongo (22): amesajiliwa kama mchezaji huru kutoka Simba.
3. Peter Mwalyanzi (??): aliesajiliwa na Simba kutoka Mbeya City, mchezaji huyo atakuwa mali ya Simba hadi hapo 2017.
4. Rashidi Mandawa (??): amesajiliwa na timu ya Mwadui FC kutoka Kagera Sugar.
5. Malimi Busungu, anatoka Mgambo kwenda Yanga
6. Geofrey Mwashiuya, ametoka Kimondo FC na kwenda Yanga
DONE DEALS:
- Kevin de Bruyne (24): ametua ManCity kutoka Wolfsburg kwa dau la £55m, mkataba wa miaka 6.
- Javier Hernandez Chicharito (27): amehamia Bayer Leverkusen kwa dau la £7.3m
- Mario Balotelli (25): ametua AC Milan kwa mkopo wa msimu mmoja.
- Nicolas Otamendi (27): ametua ManCity kwa dau la £32m na mkataba wa miaka 5.
- Pedro (28): ametua Chelsea kwa dau la £21m.
- Angel Di Maria (27): ametua PSG kwa dau la £46m.
- Kipa Wojciech Szczesny (25) wa Arsenal amehamia Roma ya Italia kwa mkopo wa msimu mmoja.
- Christian Benteke (24) ametua Liverpool kwa dau la £32.5m kuchukua nafasi ya Raheem Sterling.
- Arturo Vidal (28): ametua Bayern Munich kwa dau la £26m.
- Kocha Claudio Ranieri (63) amerudi EPL, ataifundisha Leicester City msimu ujao
- Raheem Sterling (21): ametua ManCity kwa dau la £44m kutoka Liverpool.
- Morgan Schneiderlin (25): ametua ManUtd kwa dau la £25m, mkataba wa miaka 4 akitokea Southampton.
- Bastian Schweinsteiger (30): ametua ManUtd kutoka Bayern Munich kwa dau la £14.4m, mkataba wa miaka 3.
- Robin van Persie (31) ametua Fenerbahce kwa dau la £4.7m.
- Luis Nani (28) ametua Fenerbahce kwa dau la £4.25m.
- Roberto Firmino (23) ametua Liverpool kutoka Hoffenheim kwa dau la £29m, mkataba miaka 5
- Memphis Depay (21): ametua ManUtd kwa dau la £31m kwa mkataba wa miaka 4. Depay ameifungia PSV mabao 21 msimu huu.
- Mario Mandzukic (29): ametua Juventus kwa dau la £13.6m kutoka Atletico Madrid.
- Peter Cech (33): ametua Arsenal kwa dau la £10m. Cech atavaa jezi namba 33 ikiwakilisha umri wake - miaka 33, idadi ya mechi alizocheza EPL - 333, na kwamba atakuwa uti wa mgongo wa timu, uti wa mgongo una mifupa 33.
- Radamel Falcao (29): Ametua Chelsea kwa mkopo (msimu mmoja), kwa dau la £4m na mshahara wa £180,000 kwa wiki.