Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza

🚨BREAKING:

Al-Qassam (Hamas) managed to eliminate 10 Zionist soldiers and kill them from point-blank range in the axis east of Khan Yunis.
 
prppaganda nyingi Gaza yote tunamilloki tumejenga na Sinagogi hapa waliachiwa waingie angalia kilochowapata.

View: https://youtu.be/i4qsTCfge24?si=tPMvFec6S7jLerye
 
🟡 Hezbollah in the last 20 minutes announced:

🔻Targeting Jal Al-Alam & Al-Dhahira IOF sites, causing direct hits.

🔻Targeting the Cobra site (south of Alma al-Chaeb) with ATGMs, directly hitting it.

🔻Targeting an IOF soldiers gathering in Khallet Wardah, causing direct hits.
 

Attachments

  • IMG_7444.jpeg
    19 KB · Views: 1
This video is related to 60 Israeli soldiers killed.

Hamas military wing announced that they filled the whole tunnel with explosives and blew it up among 60 Israeli soldiers then finished off the units.
 

Attachments

  • twidown.mp4
    6.1 MB
Hamas ni majini hivyo wenyewe hawafi na mabomu ya Israel yanabagua wahanga kwani yenyewe yanaua wanawake na watoto tu wa Palestina. Miracle Bombs.
UNBELIEVABLE: Hamas published scenes showing their men monitoring the israeli army tents and positions at zero range, while booby-trapping & planting explosives around the place, followed by detonating them.
 
BREAKING| Hebrew Channel 12: Netanyahu told Israeli prisoners' families that he would not be able to return them all, and chaos occurred at families meeting.
Al Jazeera says that the families of prisoners left the meeting angry.
 
Unataka kuonyeshwa picha za waliouwawa vitani? Hujui kuwa sheria za kimataifa zinakataza? Au huwa mnashabikia vita tu wakati hata sheria zake hamzijui
 
🚨 Al-Qassam (Hamas) alitangaza:

Tulifanikiwa kutegua na kulipua jengo ambalo askari kadhaa wa jeshi walikuwa wamejikita katika mhimili wa mashariki wa Khan Younis, kwa kutumia bomu la pipa na vifaa kadhaa vya vilipuzi vya TBG, na kusababisha kuporomoka kabisa kwa jengo hilo.
 
Photoshop at work. Lunatic is trying to deceave the cunning.
 
BREAKING: NETANYAHU TELLS HOSTAGE FAMILIES NOT EVERYONE WILL RETURN

“Unfortunately, we will not be able to return everyone.”

Israel don’t care about their hostages
 
Vita sio kitchen part wala harusi, vita ni kifo, ulemavu au bahati uzima. Hakuna uwezekana uwe uwanja wa vita then asife mtu, hajuna cha ajabu wanajeshi kufia vitani, kumbuka hii ni vita sio kanga moko.
IDF hawaui watoto ila wanaua Hamas wajao, wanang'oa mti sio kukata matawi.
Wa Gaza wajitahidi kuwajaza chuki watoto wao dhidi ya Israel watavuna matunda baadae kidogo tu kama wanavyovuna sasa.
 
Unataka kuonyeshwa picha za waliouwawa vitani? Hujui kuwa sheria za kimataifa zinakataza? Au huwa mnashabikia vita tu wakati hata sheria zake hamzijui
Ila hizo sheria zinaruhusu kuuwa watoto na wanawake kiholela na kuvamia hospital na kuuwa vichanga njiti kwa kuwachomolea mirija ya kupumua?
 
Unataka kuonyeshwa picha za waliouwawa vitani? Hujui kuwa sheria za kimataifa zinakataza? Au huwa mnashabikia vita tu wakati hata sheria zake hamzijui
Wewe bwege kweli hizi maiti za watoto wanaouliwa kila siku na Israel mbona wanaonyeshwe na TVs zote.
 
BREAKING: NETANYAHU TELLS HOSTAGE FAMILIES NOT EVERYONE WILL RETURN

“Unfortunately, we will not be able to return everyone.”

Israel don’t care about their hostages

Kiko wapi?
 
Ansar Allah destroys the ships of Israeli childkillers in the Red Sea.
 

Attachments

  • twidown.mp4
    713.3 KB
Wewe bwege kweli hizi maiti za watoto wanaouliwa kila siku na Israel mbona wanaonyeshwe na TVs zote.
Mimi bwege kwani mimi ndiye nnaezioyesha? naona kiu yako ya matusi ipo juu hebu ongeza jingine ili uendelee kujidhihirisha kuwa wewe ni mtu wa namna gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…