Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
prppaganda nyingi Gaza yote tunamilloki tumejenga na Sinagogi hapa waliachiwa waingie angalia kilochowapata.Siyo Israel tu, Taifa,nchi yeyote ikiwa vitani haitoi taarifa sahihi za vifo na hasara. Ninavyojua mimi hapo wanajeshi ni wengi na hasara ni kubwa , hata huko palestina idadi ya vifo siyo sahihi hasa watoto inakuzwa ili kuvuta hisia za jumuia ya kimataifa juu ya mdhiara wanayopitia.
Hao watu zaidi ya 15,000 waliouawa , alafu wanasema raia .
Zote hizo siyo taarifa sahihi. Nani anazikusanya wakati anaeto taarifa ya vifo vya wapalestina hayupo palestina, amekimbilia kama siyo Lebanon yupo Syria au Qatar.
Sasa hayo mapigano walioingia ya ardhini ndiyo hatari kwao,kwa kuwa adui hana sare,amevaa msuli, amevaa baibui, na hijabu. Matasikia ingawa wataishinda lakini watapoteza wengi sana
UNBELIEVABLE: Hamas published scenes showing their men monitoring the israeli army tents and positions at zero range, while booby-trapping & planting explosives around the place, followed by detonating them.Hamas ni majini hivyo wenyewe hawafi na mabomu ya Israel yanabagua wahanga kwani yenyewe yanaua wanawake na watoto tu wa Palestina. Miracle Bombs.
Unataka kuonyeshwa picha za waliouwawa vitani? Hujui kuwa sheria za kimataifa zinakataza? Au huwa mnashabikia vita tu wakati hata sheria zake hamzijuiWanaukumbi,
Tuliambiwa kuwa Jeshi la Israel limechukua umiliki wa Gaza na wanakamilisha vitu vidogo vidogo kumaliza vita, lakini cha kushangaza mbona kila siku tunasikia vifo vya Wanajeshi wa Israel IDF hawajahi kutuonyesha maiti za Hamas zaidi ya kuona Maiti za Watoto na wanawake.
DF spokesman announces names of three soldiers killed in Gaza fighting on Sunday
The IDF spokesman announced that three soldiers were killed Sunday in the fighting in the Gaza Strip.
Sgt. Maj. (Res.) Neriya Shaer, 36, from Yavne, Sgt. 1st Class (res.) Ben Zussman, 22, from Jerusalem, and Sgt. Binyamin Yehoshua Needham, 19, from Zichron Ya'akov.
Hizo ni namba za kisiasa tu Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza.
====
JERUSALEM
The Israeli army said Monday three more soldiers were killed in clashes in the northern Gaza Strip.
A military statement said two soldiers from the 890 Paratrooper Battalion were killed in combat north of the blockaded territory.
Another soldier from the Givati Brigade’s reconnaissance unit was killed in the northern Gaza Strip, the army said in a separate statement.
On Sunday, the army said that five Israeli soldiers were killed in fighting in the blockaded Palestinian territory.
There are conflicting reports about the total number of Israeli soldiers killed in the Gaza Strip.
According to Yedioth Ahronoth newspaper, 66 Israeli soldiers have been killed in Gaza since the army expanded its ground operations in the enclave on Oct. 27.
On Saturday, army spokesman Daniel Hagari put the military death toll since the outbreak of the Gaza conflict on Oct. 7 at 378.
Since Israel started bombarding Gaza on Oct. 7, at least 13,000 Palestinians have been killed, including over 9,000 women and children, and more than 30,000 others have been injured, according to the latest figures.
Thousands of buildings, including hospitals, mosques, and churches, have also been damaged or destroyed in Israel’s relentless air and ground attacks on the besieged enclave.
An Israeli blockade has also cut Gaza off from fuel, electricity, and water supplies, and hindered aid deliveries.
The Israeli death toll, meanwhile, is around 1,200, according to official figures.
Haaretz
Photoshop at work. Lunatic is trying to deceave the cunning.The diaper memes are coming true!
Who prayed for our troops to get humiliated like this?
Dr. Tal Brosh, Director of the Infectious Diseases Unit at Assuta General Hospital in Ashdod, said, "Diarrhea spread among soldiers in the south, and in their various areas of concentration, and then it spread among soldiers who went to combat in Gaza," and "We diagnosed infections with the Shigella bacteria." Which causes dysentery, a very dangerous disease that has spread among fighters in Gaza. The doctor added that the outbreak of these diseases has consequences on the condition of soldiers and the conduct of combat operations.
He said: "If the infection spreads among 10 soldiers in an infantry company, and they develop a fever after their temperature reaches 40 degrees Celsius, and they start having diarrhea every 20 minutes, then they are no longer fit." To fight, they expose themselves to the risk of death."
Source: Israeli newspaper Yedioth Ahronoth
😂😂 kipigo mpaka wanaharisha
Wewe bwegee soma hiiPhotoshop at work. Lunatic is trying to deceave the cunning.
Wewe bwegee soma hiiPhotoshop at work. Lunatic is trying to deceave the cunning.
Ila hizo sheria zinaruhusu kuuwa watoto na wanawake kiholela na kuvamia hospital na kuuwa vichanga njiti kwa kuwachomolea mirija ya kupumua?Unataka kuonyeshwa picha za waliouwawa vitani? Hujui kuwa sheria za kimataifa zinakataza? Au huwa mnashabikia vita tu wakati hata sheria zake hamzijui
Wewe bwege kweli hizi maiti za watoto wanaouliwa kila siku na Israel mbona wanaonyeshwe na TVs zote.Unataka kuonyeshwa picha za waliouwawa vitani? Hujui kuwa sheria za kimataifa zinakataza? Au huwa mnashabikia vita tu wakati hata sheria zake hamzijui
Mimi bwege kwani mimi ndiye nnaezioyesha? naona kiu yako ya matusi ipo juu hebu ongeza jingine ili uendelee kujidhihirisha kuwa wewe ni mtu wa namna gani.Wewe bwege kweli hizi maiti za watoto wanaouliwa kila siku na Israel mbona wanaonyeshwe na TVs zote.
Wewe pagazi wa mwarabu mbona source ni haohao magaidi wenu?😛😛Wewe bwegee soma hii
![]()
Israeli forces in Gaza suffer severe stomach illnesses
Israeli forces deployed in the Gaza Strip are facing an unusual surge in gastrointestinal diseases and food poisoning.www.google.com