Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza

Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza

Kwa hiyo wenyewe ni hao tu wakati tunaambiwa wako 40,000 terrorists presumably with bullet proof body...😛😛😛
Ndiyo wanapeleka kichapo kwa mabwana zenu hapo Gaza angalia mazishi 😂. Hawafika hata 40,000 wapo 20,000 lakini wanaleta msiba mkuwa Israel kila siku hasira zao wanashambulia watoto na majengo
 

Attachments

  • IMG_7380.jpeg
    IMG_7380.jpeg
    63.9 KB · Views: 3
  • IMG_7381.jpeg
    IMG_7381.jpeg
    69.8 KB · Views: 1
  • IMG_7382.jpeg
    IMG_7382.jpeg
    79 KB · Views: 3
Hamas wanasema wana mateka 159 wengi wao ni Wanajeshi kama IDF wanasema wamekamata Gaza wawarudishe hao Mateka Israel.
Jana kuna habari wanajeshi waisrael wamepata maradhi ya kuharisha si utani ni kweli kabisa, afu kuna 2000 wamekuwa na matatizo ya kiakili na kumbe Hamasi kapata zawadi kateka vile vyanajeshi vya kike 17 hi habari itamfanya Natanyahu apate kichaa 😄


View: https://youtu.be/zJ63cN0st4o?si=woM56bQfgyAvtXD8
 
Sky News reports that a British 19-year-old soldier in the Israeli army was killed in Gaza.
 

Attachments

  • IMG_7383.jpeg
    IMG_7383.jpeg
    52.8 KB · Views: 1
Israel huko wanaomba msaada kwa Nato hawasaidie kuwashambulia Houthis😂
 
⚡️| 🌍 BIG SUMMARY of all resistance operations today against (US)-israeli forces:

— 🇵🇸 Al-Qassam Brigades:

🔻Targeted 12 Zionist military vehicles, 9 tanks, 5 APCs & one D9 military bulldozer in various combat zones

🔻Targeted a Zionist ‘Puma’ armored engineering military vehicle, penetrating east of Beit Lahia with a Yassin-105 rocket.

🔻Targeted a Zionist tank surrounded by IOF soldiers in the northern Gaza Strip, killing & wounding a number of the soldiers around the tank.

🔻Targeted soldier gatherings east of the "Majin" settlement and the "Issanad Sofa" military site with a rocket barrage.

🔻Shelled enemy concentrations south of Gaza City with mortars.

🔻Engaged with Zionist forces near Sheikh Radwan, resulting in casualties.

🔻Engaged with a Zionist force in the al-Falouja area, resulting in casualties.

🔻Targeted a special Zionist force with explosives and finished off the remaining forces with machine guns in the al-Falouja area, northern Gaza.

🔻Targeted a Zionist force inside a building in Beit Hanoun with explosives.

🔻Targeted a Zionist force inside a building in Beit Hanoun with explosives (2x).

🔻Targeted a Zionist force inside a building east of Beit Lahia with a "TBG" shell.

🔻 Strategically altering tunnels to target a Zionist force positioned in the Beit Hanoun. Using a combination of grenades & machine guns, successfully inflicting casualties on the force, with both deaths & injuries.

— 🇵🇸 Al-Quds Brigades:

🔻Targeted 3 Zionist tanks, an APC, and a D9 bulldozer with Tandem and RPG rockets in the Beit Lahia, Al-Falouja, and Jabalia axes.

🔻Intense clashes from point-blank range against Zionist soldiers in Sheikh Radwan neighborhood, and targeted a number of military vehicles.

🔻 Shelled military concentrations and soldiers in the axis of Juhor al-Dik with mortars.

🔻Shelled enemy concentrations in the "Abu Holi" axis with several 60mm mortar shells.

🔻In a combined operation, targeted an Israeli military vehicle with an explosive device & targeted 2 other military vehicles with Tandem rockets in the eastern Gaza City axis.

🔻Shelled Zionist concentrations in the 86th Hill "Al Kurd" with rockets.

🔻Bombed military concentrations in Juhr al-Dik with Badr-1 IRAM rockets.

— 🇵🇸 Nasser Salah al-Din Brigades:

🔻 Shelled military gatherings near the Kissufim military site with a barrage of heavy-caliber mortars.

🔻Targeted a military vehicle with a Tandem rocket in Beit Hanoun.

— 🇱🇧|🟡 Hezbollah:

🔻Targeted Israeli soldiers near Shtula and Al-Rahib military base.

🔻Targeted Al-Baghdadi military site.

🔻Targeted the Ruwaysat Al-Alam military site.

🔻Targeted Israeli soldiers in Misgav Am IOF base.

🔻Targeted a group of Israeli soldiers near Branit and Al-Rahib IOF base.

🔻Targeted an Israeli infantry force near Shtula IOF base.

🔻Targeted a group of israeli soldiers near Hanita base.

🔻Targeted the Birkat Risha IOF site.

🔻Targeted the Jal Al-Allam military base.

🔻Destroyed 2 israeli military vehicles in Ramia with ATGMs, setting the vehicles ablaze & killing/injuring its crew.

This list did not include rockets fired from Gaza towards settlements.
 
Kwa hiyo wenyewe ni hao tu wakati tunaambiwa wako 40,000 terrorists presumably with bullet proof body...😛😛😛
Israeli army spokesman Jonathan Conricus: "The ratio of killing two civilians in Gaza for every armed member of Hamas is considered highly positive, and this proportion is perhaps unique in the world."

Baada ya kushindwa kuwapata Hamas wameamua kuuwa raia wewe shabiki mandazi endelea na porojo.
 
🛑 Al-Qassam (Hamas) has, since this morning, destroyed or damaged:

• 8 IOF military vehicles
• 1 IOF Merkava tank
 
🛑 Hamas (Al-Qassam):

Katika saa 24 zilizopita, wapiganaji wa Hamas waliweza kuharibu au kuharibu kwa kiasi magari 28 ya kijeshi katika shoka zote za Ukanda huo.

Walilenga vikosi vya IOF vilivyo na makombora ya kuzuia ngome na migodi ya kuzuia wafanyikazi, wakizihusisha kutoka safu tupu na kusababisha hasara kubwa, pamoja na vifo.

Zaidi ya hayo, walipiga mikusanyiko ya kijeshi kwa makombora mazito ya chokaa.
 
The diaper memes are coming true!

Who prayed for our troops to get humiliated like this?

Dr. Tal Brosh, Director of the Infectious Diseases Unit at Assuta General Hospital in Ashdod, said, "Diarrhea spread among soldiers in the south, and in their various areas of concentration, and then it spread among soldiers who went to combat in Gaza," and "We diagnosed infections with the Shigella bacteria." Which causes dysentery, a very dangerous disease that has spread among fighters in Gaza. The doctor added that the outbreak of these diseases has consequences on the condition of soldiers and the conduct of combat operations.

He said: "If the infection spreads among 10 soldiers in an infantry company, and they develop a fever after their temperature reaches 40 degrees Celsius, and they start having diarrhea every 20 minutes, then they are no longer fit." To fight, they expose themselves to the risk of death."

Source: Israeli newspaper Yedioth Ahronoth
😂😂 kipigo mpaka wanaharisha
 

Attachments

  • IMG_7434.jpeg
    IMG_7434.jpeg
    69.6 KB · Views: 2
🛑 In a joint operation, between Al-Quds Brigades & Al-Qassam Brigades, they targeted a Zionist military vehicle with two RPG shells and an Al-Yassin 105 rocket in the Al-Taqaddum axis, east of Khan Yunis.
 

Attachments

  • IMG_7435.jpeg
    IMG_7435.jpeg
    52.8 KB · Views: 2
🛑 Al-Qassam (Hamas) in the last 10 minutes:

Targeted 6 Zionist military vehicles & D9-military bulldozer with Al-Yassin 105, east of Khan Yunis
 
Anagalia betooo ya wanaume.
 

Attachments

  • twidown.mp4
    8.5 MB
Hizo hasira [emoji23] waliondika hizo habari ni Waisrael wenyewe gazeti la Haaretz
Kwani tunakubishia msemaji mkuu wa Hamas ukanda wa Afrika Mashariki[emoji23]
 
Israhell wanasema wamepoteza wanajeshi 400s
Ila ukweli nikwamba wanatupiga kamba mbwa wale
Mbwa wale wamepukutika wote kabisa,mpaka sasa Israel kama Nchi haina Jeshi,inabidi waanze upya na muda si mrefu Hamas wanaikalia Tel Aviv [emoji3]
 
🚨Hebrew media: 5 settlers were injured and a residential building was damaged after rocket attacks on Askalan
 

Attachments

  • twidown.mp4
    564.1 KB
Kwanza hizi takwimu zinazo tolewa ni zile za watu wanao kufa hapo hapo na majeruhi wenye hali mbaya walahazijumuishi maelfu ya watu walio chini ya vifusi mpaka sasa kwa hiyo maada ya vita tegemea maelfu ya watu kukutwa chini ya vifusi wakiwa wame kufa.

Hapa upo sahihi kabisa.Vifusi vimefunika watu wengi zaidi
 
Kwani tunakubishia msemaji mkuu wa Hamas ukanda wa Afrika Mashariki[emoji23]
Nawaheshimu sana wanawake kujibizana nayo nakuomba au kama upo tayari naomba usikimbilie kwa Mods.

Ahsanta.
 
[emoji298]️Hamas announces that it targeted 13 Israeli military vehicles in eastern Gaza and struck the city of Ashkelon with a missile salvo today
Tuwekee sasa na chanzo cha hii habari Shekhe
 
Back
Top Bottom