Kiongozi ukikosa maono kila kitu kitakuwa worse. Enzi za JPM alitambua kuwa mbele ya safari kutakuwa na mahitaji makubwa sababu mbali ya kuhakikisha kila mtanzania yupo accessed na umeme mpaka vijijini ambapo itachochea pia ongezeko zaidi la matumizi ya umeme kwa shughuli nyingine kama welding na seremala, pia kulikuwa na muamko mkubwa wa ujenzi wa viwanda kupitia sera ya Tanzania ya viwanda.
Sasa kwa hayo uliyosema maana yake SGR itakufa kifo cha mende..viwanda vitaingia gharama kubwa ya uzalishaji kwa kutumia mafuta hivyo kuzidi kupaisha bei ya bidhaa na gharama za maisha.
Wengi tunaamini kama mbeba maono angekuwepo basi NHHP ingekuwa imewasha umeme hadi sasa.
Wimbo wa ukisefu wa umeme ulishachimbiwa kaburi..serikali hii imekuja kufukia shimo kunusuru mazishi ya kero ya umeme.
Hata Kalemani wakati anaondolewa alikuwa site akikagua chanzo kingine cha umeme.
Sent from my SM-A225F using
JamiiForums mobile app