Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
- Thread starter
-
- #61
Hiyo hoja namba moja ni ya umuhimu sana sana... hiyo nadhani ndo intelligensia ya kiuchumi.. kama kitengo kipo basi kiongezewe nguvu ili ki inform serikali kwa wakatiUmeandika hoja jadidifu ambayo kila nukta imejaa uzalendo na mahaba kwa nchi yetu.
Kuna wakati nikishauri kuwa serikali itumie wataalam wake kufanya haya yafuatayo
- Irasimishe dawati la biashara na uchumi kuwa kurugenzi kamili pale TISS. Wanajua
- Serikali ianzishe makapuni kwa ubia na watanzania wazalendo. Tanesco iuze hisa zake
- TIC yaani kituo cha uwekezaji kiwe na dawati la kuatamiza wawekezaji wa kati ili kuwezesha Watanzania kukua into investment sector worldwide.....
Naantombe ni sawa tu na kusema naanto.Nje ya mada ...hivi mkuu wewe Ndio Nantoomba Mushi ,unehariri jina au ni Ndugu yake!?
Hahaha asantee wa jina kwa kutoa tafasiri murua na jadidi. Tatizo ni kwamba watu walikuwa hawaelewi maana sasa ikajeuka kuwa kero....Naantombe ni sawa tu na kusema naanto.
Naanto ni habari za asubuhi.
Naantombe ni habari za asubuhi kwa wa kiume wazaliwa wa kwanza.
Ingekuwa ni mzaliwa wa pili wa kiume, Ingekuwa naantosa.
Ofcourse Mushi ni ukoo.
Hopefully umeelewa. Ila nadhani alibadili kwasababu watu wengi walidhani ama wanachukulia utani au tusi.
Kama ni mimi Naanto Mushi , ningeiacha tu vilevile😄
Lakini mwisho wa siku kila mtu na maamuzi yake anayoona yanafaa kwake.
Kuna watu wana nature ya kisirani tuuu...sasa ukutane nao watalala kweli giza...Kuna mikoa itakaa gizani milele
Hakika maana bila kusabotage wengine hatutoboi mkuu.Hiyo hoja namba moja ni ya umuhimu sana sana... hiyo nadhani ndo intelligensia ya kiuchumi.. kama kitengo kipo basi kiongezewe nguvu ili ki inform serikali kwa wakati
Kidoogo hapa ndiyo Mama faiza foxy (nikuite mama maana nahisi unaweza ukanizaa) umetumia japo 40% za akili zako kuchambua hili jambo.Kimantiki na mifano ipo nchi nyingi, shirika lolote la Kiserikali likiwa kubwa sana ni lazima litawanywe uendeshaji wake ili lisiwe kama serikali ndani ya serikali.
Tanesco kwa viwango na jiografia ya Tanzania ni shirika kubwa sana kuweza kuendeshwa kutokea makao makuu moja na DG mmoja. Ni vyepesi sana kutumika kufanya hujuma, japo iwe ya mkitengo kimoja tu, itaathiri shirika zima.
Suluhisho pekee ni kulikata viande vipande vitoke vikam[uni vingi vinavyojitegemea na uhusiano wao utakuwa wa kibiashara tu. Hakuna zaidi.
Niliwahi kupendekeza hili miaka mingi sana nyuma.
Tanesco ufanyike utaratibu wa kulivunja vunja. Nje ya hapo tutasewka na umeme maisha. Hata tuzalishe umeme zaidi ya tunaouhitaji, bado gtugtakuwa na kukosa umeme na hakuna wa kumwajibisha kwa haraka. Tutabadili mawaziri, tutabadili ma DG, tutafanya kila namna, ni mzigo mkubwa kuliko wabebaji.
Kama kigoma?Kuna watu wana nature ya kisirani tuuu...sasa ukutane nao watalala kweli giza...
Mtu smart ha wezi endekeza udini na Siasa taka kama Foiza!Kidoogo hapa ndiyo Mama faiza foxy (nikuite mama maana nahisi unaweza ukanizaa) umetumia japo 40% za akili zako kuchambua hili jambo.
Tukiondoa mambo ya dini na siasa upstairs upo smart sana shida ni hizo mambo unaendekezaga humu.
Kuikata kata Tanesco ni kutengeneza nafasi za kazi kwa wakusudiwa ....!!! Iwezeshe Tanesco ijiendeshe bila kuingiliwa na maamuzi ya kisiasa.The only way kuiendesha Tanesco kifaida, kwa capacity ya uelewa wa usimamizi wa Tanzania, ni kuikata mapande sawa na mikoa na kila kipande kiwe huru na kijiendeshe kama pande la kujitgemea kikamilifu.
Kwanini Makamba mwanzo wa utawala wake alijitetea kuwa kukatika kwa umeme kunasababishwa na zoezi la ukarabati? Je Bado wanaendelea na ukarabati wa miundo mbinu?Acha siasa nyepesi mkuu ..haya matatizo ya Umeme yapo ndani ya CCM .JPM.alifanya Nini kikubwa iukabiliana nayo...zaidi ya kuanza ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ambao ni msiba ujao( subiri Mika kadhaa utasikia Maji yameisha) Huu si utabiri ni fact...kulingana na hali ya mazingira ya Bonde la Mto Ruaha ja Rufiji! Halafu huna hat Aibu Kuandika kuwa JPM alipeleka umeme Vijijini...ama hujui kuwa Mpango huu ulianza tangu enzi za Mkapa..Hawa Sasa wanamalizia ..!
The only way kuiendesha Tanesco kifaida, kwa capacity ya uelewa wa usimamizi wa Tanzania, ni kuikata mapande sawa na mikoa na kila kipande kiwe huru na kijiendeshe kama pande la kujitgemea kikamilifu.
Halafu mapande hayo matatu kila moja kuanzia top management hadi wafagizi wakabidhiwe machawa na makada kuyaendesha! Tatizo #1 nchi hii ni ACCOUNTABILITY.Yeah...niliona kitu kama hiyo nchini Namibia, ya kuvunja shirika la umeme into generation na Distribution ambako kule unakuta Kuna kampuni zinazojiendesha as distribution, kulingana na eneo ..provincial company etc.ili kurahisisha kutoa huduma Kwa tija......labda Tanesco nayo waifanye hivyo kuifanya restructuring, kuisaidia sekta hiyo....
Sijasema mimi... 😀 😀Kama kigoma?