A
Anonymous
Guest
Mimi ni mmoja wa wafanyakazi wa Taasisi ya KIUMA katika Idara ya Elimu.
Kwa sasa, taasisi imekumbwa na mgogoro wa kiuongozi unaodaiwa kuhusisha wanasiasa na mfadhili wa KIUMA. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vijana wamefutiwa mikataba yao ya ajira, huku wengine wakinyimwa kuongezewa mikataba bila kuwa na uhakika wa hatima yao.
Hadi leo, hatujui mustakabali wa ajira zetu. Sisi ni vijana wa kawaida ambao ajira hizi zimetuwezesha kujikimu na kuhudumia familia zetu.
Tunaziomba mamlaka za Serikali kuingilia kati na kusaidia kutafuta suluhisho la mgogoro huu ili taasisi irejee katika utendaji wa kawaida na sisi tuendelee na ajira zetu bila hofu ya kupoteza kazi kutokana na migogoro ambayo hatuhusiki nayo.