PostGE2025 Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa kongamano kuzungumzia Amani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
ushauri wangu ni tathmini ya ukweli wa Oktoba 29 na mahitaji ya kibinadamu kwa waliopotea, wanaogulia ndani na waliokufa.

Maana hao hawatakuwepo D9.

Pili, maandamano yatakuwa ya siku moja, maana hayana maji wala chakula. Hiyo siyo rocket science.

Tatu, bado hakuna majibu ya mawasiliano.ikiwa mtandao utazimwa, maana media haziko upande wetu. Wakizima mtandao tu, maana yake organisation inakufa. Kitu pekee ambacho nakiona kwqsasa ni App za SMS ambazo ufanisi wake ni ZERO.
 
MBONA HII FOUNDATION HAIJALAANI MAUAJI YA RAIA?

UNAFIKI HUU

Mzee apumzike kabla hajapumzishwa.
 
Kumbe wewe ni chizi tu anaye elekea kwenye uhai wa kinguruwe vile?

Ni wewe unayeyapanga hayo maandamano yawe ya siku moja? Ni tathmini ipi uliyofanya kukuonyesha huo ndio ukweli?

Sihitaji tena kupoteza muda na pimbi kama wewe.
 
Kumbe wewe ni chizi tu anaye elekea kwenye uhai wa kinguruwe vile?

Ni wewe unayeyapanga hayo maandamano yawe ya siku moja? Ni tathmini ipi uliyofanya kukuonyesha huo ndio ukweli?

Sihitaji tena kupoteza muda na pimbi kama wewe.
Utatukana sana...lakini hakuna mtu ataandamana bila chakula na maji kwa siku 30.

Na wanaotaka kuandamana hawajifichi kama kiazi kama wewe.

Vijana wa Tiktok walitekwa na kuuliwa sana baada ya kuweka video wazi tiktok kuwa wtaandamana.

Wewe Nguruwe pori na ki-ID chako uchwara ANONYMOUS huna maajabu.
 
EEEeeenHEEEEeeee!
Kwa hiyo Samia na Genge lake mmejipanga kuua sana, Nyinyi Je?

Hivi mmejisahau kiasi hiki kwa kudhani tu kwamba hiyo mitutu iliyowazunguka haiwezi kuwaua nyinyi?

Maadam umekwisha kubali maandamano ni ya siku moja, hiyo inatosha, sina sababu ya kuendelea kupoteza muda na kihiyo kama wewe..

Samia na Genge lake hana muda tena kwenye kutawala nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…