Taasisi za haki za binadamu ziangalie vimaneno dhidi ya mchezaji mzungu kutoka Simba, Tanzania haijawahi kuwa na ubaguzi wa rangi

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Naona kama huyu ndugu hatendewi sawa, na ni kama vile inaelekea katika hali ya kubaguliwa na kinyanyaswa kwa rangi yake na asili yake.

Taasisi za haki za binadamu zitoe angalizo kwa watanzania na wadau wote wa michezo ....waende nalo kwa tahadhari, na ikibidi, watakaoendelea, Tume ya haki za binadamu na utawala Bora iwaite kwa inquiry
 
Hivi tume za haki ya binadamu zinautambua utani??..
 
Simba imejaa watu wa hovyo na wabaguzi sana,walianza kumbagua Manara Kwa kumuita zeruzeru,siku yao ya Simba day wakamtambulisha mchezaji wao kuwa ni mzungu halafu hawataki wengine watumie jina hilo la mzungu 😄😄😄 majeneza fc ni watu mbumbumbu siku zote.
 
Mimi siipendi Yanga. So I would obviously root for Simba ila mkuu do not take things so seriously.

Hizi ni banter tu za kawaida kwenye michezo ya aina yoyote. Hata ukicheza draft kuna utani na kejeli ila kikubwa ni kutovuka mipaka tu.

So kama hawajasema kitu kina threaten usalama wake na familia yake au maslahi yake haina shida ni utani wa jadi tu na ni mambo ya kawaida duniani kote. Hata ukiangalia arch rivals kwenye nchi zilizoendelea haya mambo yapo mkuu.


So relax.
Kuimba kupokezana.
 
Kwa hiyo Manara akiitwa zeruzeru msilalamike, maana Kuna tuhuma huwa mnamnyoa nywele na kucha, mnasaga unga, mnaenda kufulia jezi ili mpate ushindi, kwa imani zisizo sahihi
 
Mlete Mzungu................

Mlete Mzungu................

Mlete Mzungu................ [emoji38]
 
Labda tuulize mzungu ni tusi au ? Je siku ya Utambulisho walimtajaje? Je ni mzungu au siyi mzungu? Kuhusu waafrika nje wakiitwa african siyo tusi kwa sababu ni waafrika kweli labda wakiitwa tofauti kama blacks sawa.Mfano mimi nikiitwa Mtanzania siyo sioni kosa.
 
Huo sio utani, ni ukiukaji wa haki za binadamu
Ni utani mkuu.. huo ni utsmaduni wa watanzania na hasa simba na yanga ni watani wa jadi hakuna offence alofanyiwa uwanjani wote tunajua hilo mkuu..
 
Ungana Naye tu

Kwani kusema leta mzunguuuuuuuuuuuuuu kosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…