chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Naona kama huyu ndugu hatendewi sawa, na ni kama vile inaelekea katika hali ya kubaguliwa na kinyanyaswa kwa rangi yake na asili yake.
Taasisi za haki za binadamu zitoe angalizo kwa watanzania na wadau wote wa michezo ....waende nalo kwa tahadhari, na ikibidi, watakaoendelea, Tume ya haki za binadamu na utawala Bora iwaite kwa inquiry