Taasisi za Serikali zisizopokea simu za Huduma kwa Wateja…

Taasisi za Serikali zisizopokea simu za Huduma kwa Wateja…

LATRA hawapokeagi simu hasa simu usiku na weekends
 
Kuna
1. COSOTA
2. TRA
3........
Mkuu kwa COSOTA kwakweli umewasingizia ama tatizo limekupata wewe peke yako, ama labda iwe ulipiga nje ya muda wa kazi. Jamaa wanajitahidi sana kupokea simu sanaaaa mimi huwa nawasiliana nao mara kwa mara shida ni kuwa TTCL namba ikiwa inatumika sometimes hawasemi 'number is busy' inaunga kwenye call waiting hili nimeona hata kwenye namba zao za kawaida.
 
Hata mimi nimeshangaa wao kutajwa hapa. Wanajitahidi sana hata mimi sijawahi kukutana na hiyo shida ya kutopokea simu
Tena wanakuelekeza vizuri sana. Hapa kwa COSOTA mwenye mada kasingizia.
 
Tena wanakuelekeza vizuri sana. Hapa kwa COSOTA mwenye mada kasingizia.

Tanesco Bana yaani ukipata shida hasa iwe inahusu nyumba yako peke yako utajuta yaani hawa
Pokei simu kabisa wakipokea watakwambia fundi atakuja halafu huwaoni yaani unajibiwa kama fomalit tu basi utakaa hapo hata wiki 2 au mwezi mpaka wapende wao ndio wanajivuuuta na mgari wao mkuuubwa
 
Back
Top Bottom