Taasisi za wanawake Iran washinikiza wanawake wawili wanaharakati wasinyongwe

"Sentenced to death for advocating women's rights"...????

Haiwezi kuwa sababu pekee tu yawezekana kuna sababu nyingine yenye nguvu zaidi hasa ya kisiasa.
 
Halafu eti hao mahayatollah wahuni wanadai eti serikali yao ni ya kidini sasa serikali gani ya kidini inafanya ukatili hivyo.

Iran ni moja ya mataifa 3 yanayoongoza kwa kunyonga watu duniani, hiyo ni moja ya sifa iliyonayo serikali hiyo ya "kidini" ya Iran.
 
Wakishawanyonga hawamini kama watapokelewa na Allah...ata ufanyeje mwanamke wa Kiislam anaeishi maisha magumu kiasi gani hapa Tanzania awezi kukubali kwenda kuishi Iran.
 
Hivi Iran na Hamas urafiki wao unatokana na nn?
 
Yawezekana tujafanye mfananisho na kwetu

Hairuhusiwi mwanamke kuwa kiongozi

Kwa Imani ya kiislam

Rejea kwa Tanzania huo uhuru umeleta nini
Mtu yeyote anaweza kuwa kiongozi maeneo mengi wanaume ndio wamekuwa viongozi lakini ndio wameongoza kuvurunda mambo na matokeo yake mambo kuwa ya hovyo kupindukia.

Kama waarabu wanaona wanaume ndio wanafaa kuwa viongozi hayo ni ya kwao kwani watu wote sio waarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…