Taasisi zinazokula kwa urefu wa kamba zao

Hivi uwa wanapewa hata pesa ya likizo?
Mi nadhani Serikali ianzishe hata posho za mitihani ya mihula kufungia shule, na kusaishia hio mitihani,wapate trans&Comm allowance kimtindo.
Hawa wana chama chao....sasa sijui ni wachache ndio wanafaidi au wote.....
Kuna mwalimu nimemuomba nilete gari kwa jina lake tupige hela sababu wao hawalipi kodi...sasa namuambia fuatilia...anakuwa kiumbe mzito......
 
Hawalipi Kodi kabisa au Kuna unafuu wanapewa? Serikali janja,inawapa unafuu sehemu ambayo wanajua hawezi itumia kwa kipato Chao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…