A Anonymous Guest Oct 5, 2026 #1 Kero yetu kwa upande wa Tabata, maji hayaotoki jamani tunakaa mpaka wiki mbili hadi tatu. Mitaa ya Barakuda mpaka Shule mbona maji ya shida? Siku yakirudi yanarudi usiku Saa 10 mpaka Saa 11 alfajiri.
Kero yetu kwa upande wa Tabata, maji hayaotoki jamani tunakaa mpaka wiki mbili hadi tatu. Mitaa ya Barakuda mpaka Shule mbona maji ya shida? Siku yakirudi yanarudi usiku Saa 10 mpaka Saa 11 alfajiri.
N nguvu Platinum Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,747 Reaction score 24,661 Oct 5, 2026 #2 Wakitoka hapo wanakwambia Aweso jembe, yule mwingine anapiga kazi usiku na mchana.