Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,010
Reaction score
6,766
Habari wanajamvi,

Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania.

Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni udhalilishaji mkubwa wa mwili wa mwanadamu na unapaswa kupigwa vita na kuchukuliwa hatua mara moja.

Huyu raia mwenye gari nyeusi ni "Psychopath" kabisa na anachokifanya ni zaidi ya mwananchi mwenye hasira kali.
 
Naomba mnisamehe kwa hii Violent content, na Mods mnaweza kuiboresha zaidi.

Ila seriously ukiwakuta hawa wezi wanavyowafanyia wanaowaibia sometimes hakuna namna.. WANASTAHILI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo ni watu makatili sana
Mambo ya kisiwa cha amani ni maneno tu

Sana ,yeye si kajiona mafia
Shupavu,
Sema pale sifa kujionesha mwamba
Anauza sura kabisa

Ova
Kabisa, na ana dalili za kutumia kilevi japo amefanya hilo kosa akiwa anajitambua, jamaa ajiandae kutumikia kifungo cha maisha au adhabu ya kifo.

Wezi ni wapuuzi sana ila sio vizuri kumuua mwizi ambaye hajaua
 
Ila seriously ukiwakuta hawa wezi wanavyowafanyia wanaowaibia sometimes hakuna namna.. WANASTAHILI

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mlozi, ndio wezi wana stahili hilo (baadhi) ila jamaa amekosea kufanya hivo kwenye mazingira hayo, hapo hiyo gari TRA wataifuatilia kodi, jamaa atafuatiliwa anafanya kazi gani nk.
Jamaa mwenye gari sifa za kijinga zitamfikisha kubaya
 
Habari wanajamvi,
Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania.
Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni udhalilishaji mkubwa wa mwili wa mwanadamu na unapaswa kupigwa vita na kuchukuliwa hatua mara moja.
Naomba mnisamehe kwa hii Violent content, na Mods mnaweza kuiboresha zaidi.

Huyu raia mwenye gari nyeusi ni "Psychopath" kabisa na anachokifanya ni zaidi ya mwananchi mwenye hasira kali.

Dah! Sina la kusema. Dunia inaenda kwa kasi mno.

Lakini, matatizo kama haya hutokana na haki kutokupatikana. Maana yake ni kwamba, ukimkamata mwizi na ukampeleka polisi, kesho yake anaachiwa na anakuwa na bifu na wewe.

Lakini pia tufikirie, ni kweli huyu ni mwizi? Je! Inawezekana kuna mtu kamsakizia na sio mwizi?
 
Wew mleta post acha umama kabisa unajua wezi wanayo yafanya majumbani wanalawiti nk kwan? Hao waliokuepo ni wajinga nawew tutakutafuta yamkin unashirikiana nao.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Ndio maana nilisema sijataka kuongelea wananchi wenye hasira, Bali nimejikita zaidi katika kuudhalilisha huo Mwili wa binadamu.
Lakin pia upande wa sheria mkononi tuna rekodi ya watu wengi kuitiwa mwizi ilhali kuna ishu nyingine kabisa. Nimegusia tu
 
Back
Top Bottom