carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,274
Asante, umenifungua macho... Imetulia.Bora hujaichek..nimeumia na kustaajabu..ofcourse wezi wanarudisha sana maisha ya watu...ila sio kwa level hiyo ya adhabu ..mkono umewekwa shavuni...madini kwa mbaliii[emoji6]
Ndio binadamu tulivyo, tunatofautiana sana. Wakati mwingine kibaka na mtoa adhabu wote roho Yao moja.. Tofauti matendo tu.